Recent content by Yerusalem

  1. Yerusalem

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Haya mambo watu wanachukulia kirahisi sana,kuliko kuishi na uchungu na kumchukia mtu ni bora mpeane nafasi, hata akimpeleka mtoto kwa baba yake haitafuta ukweli kuwa alipewa mimba na mwanaume mwingine wakati yuko kwenye ndoa
  2. Yerusalem

    Naomba kujuzwa jinsi ya kupakua cheti cha uviko 19

    Wakuu nakuja kwenu nikiomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupakua cheti cha uviko 19 baada ya kupata chanjo na kupewa ile kadi ya kumbukumbu ila bado sijapata kile cha kidigitali naomba msaada wa anayefahamu jinsi ya kukipata
  3. Yerusalem

    Ramani ya nyumba

    Mkuu na mimi naomba namba ya huyo jamaa niko mwanza
  4. Yerusalem

    Kushukuru ni uungwana na kujali pia!

    Hongera Mshana Jr
  5. Yerusalem

    Teknologia ya kisasa ya kuzima moto "ELIDE FIRE BALL EXTINGUISHER"

    Nahitaji hii kitu nitaipata wapi?@offshore seamen
  6. Yerusalem

    Jinsi ya kumuona utakayemuoa au utakayeolewa naye

    [QUE="Rakims, post: 31610716, member: 229741"] Hufanyi, [/QUOTE Na kama una nywele ndefu yaani afro kitana hakipiti unafanyaje e?
  7. Yerusalem

    Nursery and primary school

    Mpeleke filbert bayi tena nikaribu zaidi Nimepamiss kona mtaa wa Ngosha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Yerusalem

    Uzi maalumu kwa wale tuliolelewa na mzazi mmoja

    Yaani kuna watu tumepitia magumu sana maishani halafu mtu anatokea mtu ana conclude kuwa single mothers hawafai sijui nini huwa napata hasira sana,bila mama yangu sijui tungekuwa wapi[emoji36]
  9. Yerusalem

    Uzi maalumu kwa wale tuliolelewa na mzazi mmoja

    Hapo tutawaonea tu single mothers wengine tuliishii na wazazi wote wawili lakini sijawahi kuonja upendo wa baba kwenye maisha yangu , Kiukweli nakumkumbuka mama yangu (RIP), alipambana mpaka sisi kufika hapa tulipo, baba alikuwa hajali umevaa nini, shule umeenda au haujaenda, ada mpaka usali...
  10. Yerusalem

    Usafi kwenye vyombo vya moto hasa daladala

    Ustaarabu kwa sisi dunia ya tatu ni changamoto kubwa sana, kumbuka aliyechafua ni abiria mwenzako aliyetangulia kutumia chombo hicho cha usafiri,Abiria wenyewe sio wastaarabu unakuta mtu anakula ndizi ganda anatupa ndani ya gari, anakula karanga, mahindi magunzi anaacha ndani ya gari. Mfano haya...
  11. Yerusalem

    Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

    Ila wanaopewa msaada wakati mwingine ndio wanasababisha watu wengine wasisaidiwe,Kuna mmoja nilishuhudia kwenye daladala kapishwa kwenye kiti akae, sasa yule aliyempisha alikuwa na begi la Laptop amebeba akawa ameliweka karibu na kiti alichopisha yule Mama, yaani bila aibu akawa anamsukuma yule...
  12. Yerusalem

    Nina double life

    Mshana Jnr ukuje huku utoe ufafanuzi
  13. Yerusalem

    Pete iliyotangatanga

    Kuna dada yeye aliokota hereni ya dhahabu ilikuwa moja pembezoni mwa njia, akaichukua akarudi nayo nyumbani ili aipeleke kwa sonara, alijuta sio kwa vitisho alivyokuwa Napata usiku kuna watu walikuwa wanamfuata (hii ni kulingana na maelezo yake)wanataka hereni yao na irudishe palepale...
  14. Yerusalem

    Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?

    Mshana Hebu nielezee vzr hapa inamaana meditation inaweza kukufanya uache Imani yako?Kivipi?
  15. Yerusalem

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Yalikuwa yanaenda Korogwe (Tanga)
Back
Top Bottom