Recent content by YEHODAYA

  1. YEHODAYA

    Askofu Shoo alizwa na Ulevi wa Vijana Kilimanjaro

    Askofu Shoo sio mkuu wa kanisa la kilutheri Tanzania Askofu mkuu ni Malasusa rekebisha
  2. YEHODAYA

    Aliyekuwa kamanda wa Jeshi la Israel alalamikia upotoshaji wa IDF kuhusu wanajeshi waliouliwa huko Gaza

    Ukistaafu unakuwa na taarifa za ofisini ? Kama ni kweli huyo General hopeless Ukiwa nje ya office huwezi kuwa na taarifa current mwongo huyo Generali mstaafu hawezi pata taarifa za ofisini hadi aseme ohh waongo hakuna anayeripoti kwake kivita
  3. YEHODAYA

    Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

    Haitwi Mungu anaitwa allah badilisha hapo
  4. YEHODAYA

    Baba mzazi wa Mtanzania aliyeuawa huko Israel awasili Huko Israel

    Mbona walienda kwenda kuchukua Maiti Israel walienda wawili kufuata mwili ulitaka waende tena?
  5. YEHODAYA

    Al-Jazeera: Mpaka sasa wameuawa zaidi ya Wapalestine 21,000 na Dunia imenyamaza tu?

    Ngoja nipige hesabu Askari wanaume waislamu waliouawa 21,000 Kila mmoja kaahidiwa mabikira 72 na allah Ukizidisha 21,000 mara mabikira 72 unapata jumla ya mabira 1,512,000 saa hii wako kazi vitandani peponi Peponi kutakuwa kunawaka moto kwa miungurumo.ya vitandani mabikira 1,512,000...
  6. YEHODAYA

    Unabii wa Tanzania mwaka 2024 Kwa Kanisa

    Huyo.mohamed naye haeleweki mala aitwe mtume mohaned mara nabii mohamed shida tupu na mleya mada hivyo huku nabii kule mtume.vurugu tupu
  7. YEHODAYA

    Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Yaani kumuona tu daktari ukimkodolea macho tu elfu tano mbona nyingi
  8. YEHODAYA

    Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

    Waislamu wengi wakati ule elimu kichwani ilikuwa sifuri OK huyo Aghakhan wakati huo hakupingwa na waislamu tupe majina ya watu mashuhuri waislamu ambao enzi hizo Agha Khan aliwasomesha bure hizo shule zake kabla ya kuleta ulaghai wake kuwa ana lengo la kusaidia waislamu wasome nani...
  9. YEHODAYA

    Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

    Mleta mada serikali ilikuwa sahihi kuvunja Hicho kitu kinaitwa Eamws kama kweli huo ukikuwa mradi wa kitapeli wa Agha Khan kiongozi wa dini ya kishia akiwalaghai waislamu walio wengi wa Tanzania ili wajiunge na shule zake za Agha Khan waliipe mihela kibao Akipojitia kuanzisha hiyo Taasisi ya...
  10. YEHODAYA

    Israel yatangaza kuanza kukodisha wanajeshi mamluki

    Source ya habari tiktok mleta mada uwe serious Tiktok mtu anajirekodi na kupost chochote Ona aibu mleta mada
  11. YEHODAYA

    Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

    Lutheran likianzishwa na padre tena mkubwa wa kanisa katoliki hongera sana ni hatua nzuri ya kuanzia kiimani kuliko kutosali kabisa kwa kuzira kwendawe kanisani .. Wengine waige uamuzi wako wasiache kwenda kanisani Lutheran huwa hawana masharti magumu ya kusali kwao hata uwe wa kanisa lolote...
  12. YEHODAYA

    Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

    Lengi la LGBTQ ni kugeuza ulimwengu kuwa wa kike hiyo movement ilianzishwa na feminists movement kuhakikisha mfumo dume unakufa na nfumo jike una dominate Wanaume wawe kikekike na watamani kuwa wa8nawake kuolewa nk wamefanikiwa sasa wamefika hadi Vatican Papa karuhusu baraka za wapenzi jinsia...
  13. YEHODAYA

    Mfungo wangu wa siku 40 bila ya kula chochote umekamilika

    Vipi umepata ulichofungia hizo siku 40?
  14. YEHODAYA

    Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

    Kifupi wahubiri dini wasiojielewa hudhàni ukitukana kuwa mke wa mtu ni malaya kutafanya mke wake malaya aonekane mtakatifu Kutukana na kukosoa dini za wengine hakufanyi dini yako ionekane nzuri ni mahubiri hopeless You can win argument but nit the Heart Hubiri chako watu wakikiona kizuri...
  15. YEHODAYA

    Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

    Generali wa pili huyo kuuawa na Israel wa kwanza aliuawa Tehran alikuwa ndio mtaaalamu mkuu wa utengenezaji silaha wa Iran
Back
Top Bottom