Recent content by YEGO MLA

  1. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani Tanzania kinafanyika kilimo Cha umwagiliaji?

    Njoo momba Kuna irrigation system, kata ya chitete wanalima mpunga. ila mizizi usiache ukiacha utawafanyia wengine kazi.
  2. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Paka mwenye malengo hali panya mwenye mimba Sent from my TECNO CH6 using JamiiForums mobile app
  3. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (Mume) wakuanza naye familia pamoja

    Kama ukiwa hujapata nicheki pm
  4. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Nisogezee hizo video mkuu
  5. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete kuliko wakati mwingine wowote ule

    Wamewekeza elimu na afya, wakimaliza ndo watakuja kwenye mazingira na misitu. Lakini watakuwa samechelewa sana.
  6. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CAG ifutwe

    Huko wizaran hakuna wahasibu wapenda rushwa?
  7. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Nakuja pm mkuu nami nataka nikafaidi huko
  8. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Naomba hyo connection mkuu
  9. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Ukipewa nikumbuke na mm pia
  10. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mali ya wapi hii
  11. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mkuu hii huwa naiona FB ila haitowi ushirikianao kama namba yake unayo naomba tafadhali
  12. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia mteue Wakili msomi Peter Kibatala kuwa Jaji

    Tundu Lisu ndo anafaa hiyo nafasi
  13. YEGO MLA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu amsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kwa Ubadhirifu

    Majaliwa aje halmashauri ya momba kuna mambo kama hayo ila zigo wanaangushiwa watendaji na watumishi wengine walio kuwa wanakusanya pesa.
Back
Top Bottom