Kusema kweli kwa hali ya kisiasa ya nchi ilivyo kwa sasa,ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini inahitaji kuwa na mabadiliko muhimu ili kutengeneza kuaminiana miongoni mwa vyama vya siasa nchini.Katiba mpya itengeneze tume maalum ya kumteua msajili na kuipeleka kwa rais.
heko jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kupambana na wahuni wachache wanaotafuta kugawa nchi kwa maslahi yao.nakubaliana na Rais kikwete kuhusu rasilimali za nchi,tukiruhusu madai haya ya wanamtwara yapite kama yalivyo,hakuta kuwa na nchi maana hata watu wa mbeya wanaweza kuzuia magunia ya viazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.