Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,407
Ushawishi unaonipa utanipeleka pabaya wallah..
Pazuri. Cloud 9.
Ushawishi unaonipa utanipeleka pabaya wallah..
We nae umepotea best. Swalamaaa?[
Guess Im lost! Swalama Salimini.......!
Safiii. Jioni njema.
Hujajua kutofautisha "your" na "you are" ambayo hufupishwa "you're" Bora ungeandika KISWAHILI.
Am so sorry! but men aren't like that,u seem to make bad moves! listen; GO FOR THE ONE (MEN) WHO TRULY LOVES YOU....only then utajua how sweet men are! Love rules..u don't need to get confused my lady. au hujui jinsi ya kumtambua a men anae kupenda kwa dhati?? labda ndo tatizo lako.
Hata huwa hawajui wanachokitaka,
Wewe!!!, mbona hivo??mxiiiiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu (pandisha macho na kushusha chini
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu okra we (na mate natema....)
dum.b n broke ignoramu.s pervet kwendraaaaaaaaaaaaaa
Mwanaume si nduguyo
Bible yenyewe imesema tuishi
na nyie kwa akili so mwanamke hata uweje hunajipya kwa kwamwanaume so
tulia mdada endelea kutanua miguu
Wewe!!!, mbona hivo??
Happy New Year..i miss ya
I didnt call you, I called yo coment.utamwitaje mwenzio nyambafu na humjui?how does it feel
hapana chezea men's ego hahahaaaaaaa. mi nna kimeo changu hicho full drama daily mara oohh im not sure abt us...give me a break...blah blah.. ukimchunia after two days anaanza kulialia. alivyohajielewi sasa ukimwonesha mapenzi anadhani labda u r after smthng (ndoa labda)...mwenyewe mejizoelea kumwita bwana angu swtnamez kwa sana basi ye anadhani labda nipo desperate kumbe mwenzie maigizo tu as keshanichosha teh teh teh... huyo wako bibie akikuletea pozi mchapishe lapa/usimfatefate...nawe weka pozi kwa sana tu (nilimpigishaga mtu kwata mwaka mzima ananbembeleza tuuuu hahahaaaaaa) ananiheshimujeee sasa now 🙂 🙂
I didnt call you, I called yo coment.
"aftaroo" I was a lilttle bit emotional, Lakini!!!, kwa nini wewe utake kumuonyeshea dharau mwanaume, umesahau kuwa umetoka ubavuni kwake!?
Nop. bado natafuta na cjui kama nitapata
hapana chezea men's ego hahahaaaaaaa. mi nna kimeo changu hicho full drama daily mara oohh im not sure abt us...give me a break...blah blah.. ukimchunia after two days anaanza kulialia. alivyohajielewi sasa ukimwonesha mapenzi anadhani labda u r after smthng (ndoa labda)...mwenyewe mejizoelea kumwita bwana angu swtnamez kwa sana basi ye anadhani labda nipo desperate kumbe mwenzie maigizo tu as keshanichosha teh teh teh... huyo wako bibie akikuletea pozi mchapishe lapa/usimfatefate...nawe weka pozi kwa sana tu (nilimpigishaga mtu kwata mwaka mzima ananbembeleza tuuuu hahahaaaaaa) ananiheshimujeee sasa now 🙂 🙂
nitaish mwenyeweUsipopata utachukua hatua gani?!
nitaish mwenyewe