Recent content by ydalnorI

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo wa kilimo au ufugaji wana jamvi

    Asante sana mwana jamvi , bank ya kilimo hii ipo kila mkoa kweli au ni Dar tu? Mimi niko Arusha , naomba usinichoke nielekeze how to go tafadhali
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo wa kilimo au ufugaji wana jamvi

    Asante ndugu, hivi hii bank iko kila mkoa? Naomba unifahamishe tafadhali
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkopo wa kilimo au ufugaji wana jamvi

    Salam kwenu wakuu. Mimi ni mfugaji/mkulima ambaye nimepitia changamoto nikakwama kimtaji. Naomba kama kuna mdau humu ambae anaweza kunisaidia jinsi ya kupata mkopo au udhamini ili nibust ufugaji wangu na kilimo pia. Nina heka 50 za shamba ambalo nahitaji kupanda maharage msimu ujao na kuku...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Nianze na kuku wa aina gani kwa mtaji wa Tshs 400000

    Swali hili ni baya , kama hutaki kumjibu si unapita tu kiungwana khaaa
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Usiku mwema katika jina la uke mtamu

    Fyuuuuu
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna kampuni zinazotoa bima ya mazao?

    Namshangaa kabisa si atume hapa kila mtu aone mimi hivi vitu vya inbobo wapiiii, visha nishinda
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Kwa Wajasiriamali wadogo na wanao inukia wanahitaji mno kuwekeza kwenye Daily Income Business

    Yaani unasema enzi ya mwl Nyerere alikuwa anapata faida ya 30, au plus na bado sasa hivi amepanga analipa kodi. Sasa hata yeye ni .......,:
  8. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Hivi wewe uliisha pona kweli hii kitu?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Kituo hakiwezi kustawi kwa kutoa huduma mbovu, hichi ulicho nishauri kitakuwa na ustawi hasi. Asante kama hichi ndicho uliona ni mchango ktk hili
  10. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Ndugu yangu jiangalie kesho usije ukawa wewe unaletwa msobe msobe hujitambui. Lolote mtakalo mtendewe na nyie watendeeni wengine vivyo hivyo.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Umeongea jambo usilo lijua tena ni wazuri sana huwezi amini sometime kuliko hata hao MD maana wao wako huku ground they meet many and consult many. Sijui nikwambie kwa mfano upi unielewe.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Mungu akujalie ndugu yangu asante kwa ushauri wako mzuri sana , nitautekeleza.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Unajuaje ndio nimetoka chuo sina uzoefu ?hata hivyo ungekosa cha kucomment ungenyamaza ukasoma comment tu maana wewe unajua kila kitu
  14. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Mkuu wagonjwa wapo tu hata wasipo kuja hospitalini kwangu. Na nia ya vituo vya afya ni japo tunaugua tukienda kutibiwa tupone. Pole sana naona umenielewa tofauti.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI MBINU YA KUPATA WAGONJWA.

    Wana jamvi wenzangu mimi ni muajiriwa ktk clinic fulani kama meneja fedha wa kituo. Ninaomba mawazo yenu wakuu kwamba ni njia gani naweza kuitumia kuvuta wateja waje kuhitaji huduma ktk kituo chetu? Je wagonjwa ambao ni wateja wanapendelea kuhudumiwa vipi? Mawazo yenu yatanisaidia kuboresha...
Back
Top Bottom