Sijawahi amini kwamba Polepole anaweza angusha ngome ya CCM. Sisemi hawezi ila nione kwanza impact yake ndo nitaamini. Until then I remain undecided about the impact of his movement against the so called wanamtandao & mafisadi.
Be gracious. Huenda amegundua alikosea. Forgive him, talk to him, and be that shining light to him as he approaches the end of his life. Utabarikiwa. No human is perfect. We are all always a work in progress.
Unachanganya maturity na theory. Kuna comment kaulizwa kama ameoa kagoma kujibu. Kuna uwezekano maoni yake ni mostly nadharia. Haya mambo yanategemea na uwepo wa mtazamo chanya kutoka pande zote mbili.
I have to say, judging by your responses to the comments (some of which are stupid), you have a great attitude. Kuhusu Uncle wako, mshauri kama anataka watoto na mkewe hataki basi aachane naye atafute mke mwingine.
Hizo ndo sababu wamenyimwa visa? Unajua maana ya visa? Be serious Mkuu. The questions you are posing are irrelevant. Hakuna sheria yeyote au mkataba wowote wa kimataifa unao dictate nchi yeyote kulazimika kukupa kibali cha kuingia kwenye nchi husika bila ridhaa na utashi wa nchi husika. Iran is...
You are misinformed Mkuu. Unajua lakini kwamba rais wa Palestina na wana diplomasia wake wametangazwa kunyimwa visa ya kuingia US kuhudhuria mkutano wa UN siku chache zilizopita tu? Pitia hii...
Not true. Visa yeyote ile inatolewa kwa utashi wa mamlaka ya nchi husika. Wanaweza kukunyima kabisaa mazima bila hata ya kukupa sababu. Pia wanaweza kukunyima leo lakini kesho wakakupa. Na wanaweza wakakupa lakini ukiingia tu ndani ya nchi yao bado wakakukataa na kukurudisha ukiwa hapohapo...
Siyo kweli hata kidogo. Kwa nchi yeyote ile a visa is not a right; it's a privilege. Hata Mahmoud Abbas, Rais wa Palestine, kanyimwa kuingia US juzi tu bila sababu za wazi. Sembuse waziri wa Tz? Pitia hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.