Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,981
- 95,419
Ina sikitisha sanaNdo maana mm nimeamua kuwa mpiga nyeto tuu 🔥
Ina sikitisha sanaNdo maana mm nimeamua kuwa mpiga nyeto tuu 🔥
Hongera mkuu kuwa role model wa mtu humu.Mimi sipigi nyeto tafadhali mkuu..
Nina watu humu wananiangalia mimi kama role model wao sasa unaposema napiga nyeto hyo sio nzuri aiseee
Kama mpo pamoja tulia nae mlee mtoto wenu. Mtoto ana haki ya kupata malezi ya wazazi wake wote wawili kwa pamoja. Kama mama mtoto hana changamoto zisizovumilika mfano jeuri, gold digger, kuchiti n.k basi tulia nae tu. Kwenye dating pool wamejaa damaged women tu. Utaluka majivu utakanyaga motoJe kama umezaa nae tayari na hajioni ukiwa tayari kwa ajili ya ndoa, hapo tunafanyaje mwenyekiti?
Shukran mkuu, ila hii issue inanitafuna sana.Kama mpo pamoja tulia nae mlee mtoto wenu. Mtoto ana haki ya kupata malezi ya wazazi wake wote wawili kwa pamoja. Kama mama mtoto hana changamoto zisizovumilika mfano jeuri, gold digger, kuchiti n.k basi tulia nae tu. Kwenye dating pool wamejaa damaged women tu. Utaluka majivu utakanyaga moto
Kama tayari mshaachana hapo kubali ulifanya kosa kumzalisha mwanamke ambae hauna malengo nae. Kuleta kiumbe kipya duniani ni suala ambalo linahitaji maandalizi ya kipato, saikolojia na dhamira ya dhati kujenga familia. Usifanye kosa kubwa zaidi la kumtekeleza mtoto wako. Toa gharama stahiki za malezi
Hauwezi kubadilisha yaliyopita. Panga yajayo kwa kuangalia mustakabali wako na mtotoShukran mkuu, ila hii issue inanitafuna sana.
Hawakupata haya madarasa brother 🤣Mnahangaika na ishu zisizokua na ishu hata, kumma haijaanza kuwa na nguvu leo....aliangushwa Adam, akaangushwa mnadhiri wa Mungu Samson na wengineo weeeengi itakua nyie kina mwakipesile..... Hebu hukooooo
Nitalikabili kisawasawa.Hauwezi kubadilisha yaliyopita. Panga yajayo kwa kuangalia mustakabali wako na mtoto
Kipindi hiko sikuwepo. Ningempa darasa uyo simp samsonMnahangaika na ishu zisizokua na ishu hata, kumma haijaanza kuwa na nguvu leo....aliangushwa Adam, akaangushwa mnadhiri wa Mungu Samson na wengineo weeeengi itakua nyie kina mwakipesile..... Hebu hukooooo
Braza kumma haijawahi kumuacha mtu salama....good nightKipindi hiko sikuwepo. Ningempa darasa uyo simp samson
Aah wapi.. Kwanza uko wapiBraza kumma haijawahi kumuacha mtu salama....good night
Sasa si ndo maana tunaambiwa tuchukue tahadhari.Braza kumma haijawahi kumuacha mtu salama....good night