Recent content by YAYEDACHINI

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Haya mazoezi ya ndege za Kijeshi mjini (Dar) yanatia shaka kipindi hiki!

    haya ni mazoezi kwa ajili ya kumuaga amiri jeshi mkuu rais wa jamhuri ya mungano wa tanzania...ataagwa rasmi kijeshi cku ya 9 sept 2015. Toa shaka
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Upi hasa ufisadi wa Lowassa?

    Siasa ni game inayohitaji akili, ccm km mazuzu wamebadilishana dhahabu na vipande vya chupa...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mrema na Lowassa kwenye ugombea urais

    wangapi waliosoma hawana ajira? Kwenye taasisi za umma mmejaza watoto wenu kila kukicha kugawa mikoa na wilaya kutengeneza ajira, mmeshindwa kusimamia kilimo na processing industries kuongeza ajira! Mwaka huu hatuna suluhu na ccm
  4. Y

    JamiiForums Tanzania UKAWA na changamoto zake - Dr Slaa na Lipumba - hatuwaelewi

    for sure!
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri, Rais hatatoka ndani ya CCM

    unavyosema sasa ni dhahiri rais atatoka ccm kwani lini alitokea nje ccm? sasa tunataka atoke nje na ccm
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mama na mwanae

    hahahahaaa...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    attitude ya dr. kwa mafisadi na ufisadi ni jambo analoishi nalo hakujenga kwa siku mmoja...japo hakuna kurudi nyuma, pia hatupaswi kudharau nakusahau jitihada na mchango wake ktk ujenzi wa chama, kikubwa nikumwombea ili Mungu amwonyeshe njia, ili atutie nguvu...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Najiandaa kumpokea Balali

    Kikubwa ni kuitoa ccm madarakani ili kuzuia kuzaliwa mabalali na liyumba wengine pale Bot,
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Hahaha... Pale Mzungu anapojua maneno matatu tu ya Kiswahili

    hahahahahahaaa, noma sana
Back
Top Bottom