Recent content by yathriba

  1. yathriba

    Gari inauzwa,toyota touring hiace

    Nauza gari aina ya toyota touring hiace ,namba D ,rangi ya silver,bei mil 15 maongezi yapo .kwa mawasiliano piga 0655495151.as per attachment.
  2. yathriba

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Habari zenu wadau,naomba kujuvya kuhusu biashara ya bekary,mtaji wake,changamaoto.zake,faida yake ikoje.mwenye uzoefu wa biashara hii naomba msaada.
  3. yathriba

    Wezi,vibaka,majambazi mnaturudisha nyuma sana.

    Kila mbuzi anakula urefu wa Kamba Yake
  4. yathriba

    Wezi,vibaka,majambazi mnaturudisha nyuma sana.

    Habari wadau,Leo tukutane wale wote ambao tulishakutwa na matukio ya kuibiwa kwa njia yoyote Kama kuporwa,kuvunjiwa ama Yale ya ujambazi,kusema kweli wanaturudisha nyuma ,Mtu unahangaika unatafuta yeye anakuja kubeba kirahisi Tu Kama chake vile,nalilia flat screen yangu 50 inch wameibeba Kama...
  5. yathriba

    Wanaotuibia wanaturudisha nyuma

    Habari wadau, Leo nataka tuambiane kila ambae alishawahi kuibiwa either na kibaka njiani ama kuvunjiwa nyumba na wezi ama wale wanaoitwa majambazi kusema kweli wanaturudisha nyuma, mtu uko buzz kutafuta yeye anakuja kuchukua kiulaini kama chake, inasikitisha kusema kweli. Hapa naugulia maumivu...
  6. yathriba

    Natafuta nyumba ya kupanga kwa mwezi mmoja Zanzibar

    Unataka full furnished? Nipm ipo nyumba kikwajuni karibu na uwanja wa mnazi mmoja.
  7. yathriba

    Mahitaji ya viwanja,mashamba wilaya ya Mkuranga,nipo hapa kukusaidia!

    Mkuu me niko nje ya mada kidg nlikua naomba ushauri khs shamba uko mkuranga sehemu inaitwa msorwa mbele kidg kuna kiwanda cha chumvi,Mwenzangu alinunua kama miezi minne imepita,mimi sijafika lkn alimpeleka mamaake baada ya kurudi tu akaniambia mmepoteza pesa sehemu ni ya maji na mchanga hapaoti...
  8. yathriba

    Noah inauzwa mbeya.

    Bei ni 9mil mazungumzo yapo,sorry kumbe skuweka bei ila kama upo serius unataka kuiona nitafute.
  9. yathriba

    Noah inauzwa mbeya.

    Maelezo gani tena mkuu apo unayoyahitaji ?uliza nukujibu.mm ni mwenyewe wala sio dalali.
  10. yathriba

    Mshahara wa laki sita (600,000) na ndoto ya utajiri

    Magufuli ana taarifa zenu?[emoji12]
  11. yathriba

    Noah inauzwa mbeya.

    Noah inauzwa ipo katika hali nzuri ,ipo mkoani mbeya mjini..kwa mawasiliano nicheck watsapp 0773496161 ama 0655495151.
  12. yathriba

    Britam yazindua huduma zao rasmi nchini Tanzania

    Pata claim kwao ndo utawajua ni kama wapo vizuri au vp,matangazo tu hayo ata halotel wanayo
  13. yathriba

    Faiza afunguka vilivyo kuhusu Sugu kuoa

    Mhh uyu faiza me nna waswas na akili zake,sugu alijionea mapema,ndo athari za kuokota okota tu wanawake sasa inamcost.pole sana faiza.ndo maisha.
Back
Top Bottom