Hivi Kwa Nini?wamatumbi wa matombo hapa Malawi munafikiri hii Ni Vita YA KIDINI.
Hao wazayuni hawaangalii Uwe muislamu,mkiristo,mmbudha hata myahudi mwenzao ukijichanganya Na itikadi Yao YA uzayuni wanakuhasi usipojizatiti....MIPANGO wao wa greater Israel Ni Zaidi YA mashariki YA Kati Sema...
Unaambiwa usiibe halafu watu wanakwapua Mali ZA Umma,unaambiwa usiue wakati wao ukiwakisoa unaisoma..
MUNGU WA AFRIKA NDO ATAWAOKOA WAAFRIKA SIKU TUKIANZA KUMTAFUTA NA KUMUOMBA,hiyo Miungu mingine haitoboi kwenye ardhi ya afrika
Unajua Waafrika hawajitambui
Hizo Ni hadithi ZA kale ambazo HATA ZA Kiafrika pia zipo.
Watu wameaminishwa mbingu...Na Hao wayahudi na wazungu Na waarabu wanauana kujenga hapa duniani
Hawa ndo vijana wapumbavu wa Kiafrika...
Mungu wa Israel haabudiwi nje ya ardhi ya Israel,ndo maana Hao jamaa wanang'ang'ana kupata ardhi ya Israel ambavyo kimsingi hawajawahi kuipata Toka walivotoka utumwani Misri...kimsingi walitapeliwa Na Musa ili mradi awatoe Misri akaanzishe utawala wake...
Kuna watu hawawaelewi vizuri waajemi...Hao Ni ancient civilization Na wanajua Hilo,kimsingi ndo maana ulaya hawakutaka kabisa kuingia kwenye Huu mzozo,kumbuka west Europe ndo Roman empire...
JAMAA WANATUMIA AKILI SANA
Ni asymmetrical war fare Na diplomasia zidi YA Maguvu bila strategy
Unajua kuwa uingereza iliitishia Israel isipositisha Vita Gaza italitambua TAIFA la Palestine kama nchi zingine ZA ulaya...unajua issue kuu inayowaondoa labour Na conservative ni islamization of UK.
Unajua kinachoendelea Ireland.
Israel haipo ulaya geographically tu..
Lakini tamaduni zao kisiasa,kijamii Na kiuchumi Hao Ni watu wa ulaya kabisaaaaaa.
Kumbuka sijasema trump,nimesema people with power beyond politicians
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.