Recent content by yasini jawadu

  1. yasini jawadu

    Naomba kuelekezwa kutengeneza barafu na juice ya Matunda

    Habari wapendwa wa JamiiForums. Naomba mwenye elimu ya kutengeneza barafu na juice ya matunda mchanganyo wa nanasi ndizi na parachichi aweze kunisaidia, email yangu ni yasinijawadu@gmail.com Asante sana. Pia soma: Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako
  2. yasini jawadu

    Ripoti ya Polisi 2020: Asilimia kubwa ya mauaji yanayotokea hapa nchini hivi sasa yanatokana na wivu wa mapenzi

    Hivi nikweli kwa mwaka 2020 vifo vinavyosababishwa na mapenzi vimeongezeka?
  3. yasini jawadu

    Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  4. yasini jawadu

    Uchaguzi ni wa nini basi?

    Write your reply...bado sana kwa tanzania demokrasia ni changa maana sioni umuhimu wa vyama pinzani kama kunauwezekano vingefutwa tuu kikaundwa chama kimoja tu
Back
Top Bottom