Nina Uhitaji wa mashine hii.
Nina uhitaji wa mashine ya kusagia vitu vigumu (Multpurpose grain grinders.Ikipatikana used au mpya nitachukua.
Nina uhitaji wa mashine hii yenye kuzaga kilo 2,3 hadi 5.
Mawasiliano yangu,
0621436829
Dsm
Nyama isiyo na mafuta haina shida.
Usitumie nguvu kubwa sana kuharakisha kilo zako zitoke kwa haraka, ukitumia nguvu kubwa na kilo zikaondoka kwa haraka utapata changamoto mbeleni.
Kilo zitakata kwa haraka Ila ukirudi kwenye ulaji wako, kilo zitapanda kwa kasi maana najua huo utaratibu huwezi...
Hadhi: Natafuta kazi.
Jinsia: Mwanaume
Umri:29
Taaluma: Lishe ya Binadamu (Mtaalamu wa Lishe).
Uzoefu: miaka 3.
Ninaweza kutoa ushauri wa kibinafsi kuhusu lishe kulingana na malengo ya afya ya mtu binafsi, mtindo wa maisha na historia ya matibabu.
Ninaweza pia kusaidia kuandaa mipango ya...
Status: Job seeker
Sex:Male
Age:29
Profession: Human Nutrition (Nutritionist)
Experience: 3 years
I can provide personalized advice on diet and nutrition based on an individual's health goals, lifestyle, and medical history.
I can also help develop meal plans and provide education on...
Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla (Structural and vessels disease).
Moja ya ugonjwa wa moyo unaokuja kwa kasi sana nchini ni Kupanda kwa shinikizo la juu la damu/Presha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.