Recent content by yamo

  1. yamo

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Minyoo kwa watu wazima, ipi bora?

    Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa, Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena tumboni. Naomba msaada wenu.
  2. yamo

    JamiiForums Tanzania Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

    Asante sana kwa ushauri wako.
  3. yamo

    JamiiForums Tanzania Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

    Naomba msaada wako, Iwapo mtu anadaiwa na mahakama ikadhibitisha lakini kwa bahati mbaya hana uwezo wa kulipa deni yani hana mali yeyote ya kuweza kulipa hilo deni nini kinatokea, Iko hivi, kuna ndugu yangu alichukua mali za watu akauza na katika kufuatilia akaja akakamatwa na mahakama...
  4. yamo

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yabatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Sijasikia kama waliotoa hukumu kimakosa wanachukuliwa hatua, Au mi ndo sijaelewa vizuri!.
  5. yamo

    JamiiForums Tanzania Ngurudoto Hotel ni kweli imekuwa Hostel ?

    😂😂
  6. yamo

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Tumedanganywa sana kuwa Dunia inazunguka
  7. yamo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuoa na kuishi kwenu na mke wako?

    Kwanza hao waliozeeka ndo balaa kwa maneno, utashangaa binti wa watu anakonda kikasiku
  8. yamo

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za madereva bodaboda

    Kofia zao zinakera
  9. yamo

    JamiiForums Tanzania Taja sifa za madereva bodaboda

    Unamkuta kijiweni amekaa ukimkodi tu anakua na haraka kuliko maelezo
Back
Top Bottom