Recent content by yamadonga

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Mstari gani au verse ya FID Q umekubamba?

    wema anaitaka saa ya almasi zari anaujal muda
  2. Y

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole na msiba mkuu.. m/mungu azid kukupgania kweny kipnd hiki kigumu unachoptia
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Asant mkuu
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Asant sana ndugu yang..c unajua majaribu tumeumbiwa binadaam.. life goes on no matter wat
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Sawa kaka nitaendelea kufuatilia kote huko
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Asant sana kadadaa
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Hapana mim n geofrey John n kaka yang na yey hata aelewi yupo wap
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    [emoji2] [emoji2] inawezekana aisee sabab na mim napenda sana mambo ya kijeda hatar
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Kwel aisee zacharia maseta n mdogo wako??wajomba wote awaelew.. na mjomba evance yupo sumbawanga sikuwahi kumuona huwa namsikiaa.. ma mkubwa leokadia ndo alienilea tokea mama amefariki nae afaham
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Na mim namtamfuta sio kwa ajil ya msaada wake wala nin.. shida yang nimjue tu kama kuumia nimeshaumia sana na n hal nilio izowea kwa mda mrefu sana na ninazid kupambana nayo
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Hapana mim nimezaliwa tabora
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Nmeenda kufika nmekuta watu wengi wapya wengne nimewasahau yan purukushan hadi basi..lakin sahiv mim nimeamia mby alipozikwa mama labda ndio nitaendelea kufuatilia taratibu kuhusu mama
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Polee sana mkuu..
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Asant sana mkuu. aminaa
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Mama yangu alikuwa ni mfipa lakin kwa kumbu kumbu zangu cjawah kusikia kama ameishi sumbawanga zahid ya kwenda kusalimia na kurudi.. na hapo hapo alikuwa mtumishi wa serikal kuptia askar magereza.. na ktu kingine ninachofaham kuhusu ukoo wa mama angu n kuwa hakuna ukaribu kila mtu anaishi...
Back
Top Bottom