Recent content by Yaleyale

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa hawajui kusex

    Jiandaye mwenyewe!. Kila mtu ashinde mechi zake.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania I have decided to follow Jesus

    Punguza shisha!
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

    Ni kweli kabisa. Binfasi X alinifuata kwa mambo mawili. Kwanza alitaka amkonvice mchumba wake mimi niwe best man wao nikagoma. Nikaletewa kadi nihudhurie send off yake na nilienda.. Baada ya sendoff akataka nikamkande siku ya Ijumaa ambapo Jumamosi ni harusi yake. Nikaona kabisa nilikuwa natoka...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali bei ya nauli ya SGR kupanda kila mara?

    Wakati bajeti inasomwa, yeye alikuwa busy kufuatilia Simba na Yanga!
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba au Kiwanja Dodoma Area D ya kununua.

    Yes. Nilifanukiwa. Shukrani
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Du, huu ni upuusi wa kiwango cha SGR. Juzi wakati Iran inarusha makombora, anga la Israel haikulindwa na huyo mungu wa Israel bali na technolojia ya ku neutralise makombora. Vita ni technology sio imani.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

    Tatizo nina watoto watatu. Kigezo kimeniondoa.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Stand ya Nanenane Dodoma ukipaki gari unapoingia kwa abiria unalipishwa, hata kama una tiketi ya basi

    Hata mimi nilishangazwa kutakiwa kulipia pesa wakati ninayo tiketi hapo nane nane stendi. Tena wameweka na tangazo kabisa. Ule ni uwizi wa mchana.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Hahahaha. Sawa mkuu. Naona ni yaleyale kama jina langu.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Mama wa mtoto yuko wapi? Au na yeye atakuja na mada ya kutaka mume!
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Aksante chief. Tafadhali unaweza kushare angalau gareji nzuri nikawaone? Nipo Dar es Salaam.
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Aksante chief. Tafadhali unaweza kushare angalau gareji nzuri nikawaone? Nipo Dar es Salaam.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari langu lina tatizo la kushtuka stuka nikiwa barabarani

    Habari wana JF. Naombeni ushauri kwa mafundi au yeyote anayeweza kujua tatizo la gari langu. Nina gari aina ya Hirrier vijana wanaita (matako ya nyani). Gari hili nimenunua mwishoni mwa mwaka 2018. Takribani miezi mitatu, gari lilianza tatizo la kushtuka stuka (inakita) ukiwa mwenye mwendo. ...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna michepuko ni takataka kabisa

    Du, mkuu wewe ni mstaarabu sana.
Back
Top Bottom