Recent content by yakub

  1. yakub

    PC/Laptops : Games !! haya kwa wapenda games!!

    mkuu hayo ndo mambo yangu tupe maelezo ya kuyapata
  2. yakub

    huyu Zainab issa

    mcheki kidolen namuonaga ana ring ya ndoa.
  3. yakub

    Mtoto wa kike Jicho!

    kweli kabisa kaka me mwenyewe nimeshawai kutumiwa picha na maelezo kama hayo kama mara tatu hv then wanakwambia wazazi wao walikuwa na mahela
  4. yakub

    msaada wakuu.

    thanks kaka hiyo ni good idea ninaifanyia kazi sasa hivi.
  5. yakub

    msaada wakuu.

    ok. Let me try t.
  6. yakub

    msaada wakuu.

    nimejaribu mkuu kwenye computer nyingine ina function fresh but nikirudisha kwangu haifunction.also nilijaribu modem nyingine ya zantel kwenye computer yangu ilifanya kazi fresh.
  7. yakub

    msaada wakuu.

    kwenye my computer, haionekani.
  8. yakub

    msaada wakuu.

    sawa mkuu
  9. yakub

    msaada wakuu.

    ninatumia window xp, nikiconect haileti result yoyote.
  10. yakub

    msaada wakuu.

    wakuu naombeni msaada wenu kwa hili tatizo langu. Tatizo ni pc yangu haiditect modem ya vodafone zte k 3571-z before ilikuwa inafunction vizuri but now nikiconnect kwenye pc haifunction hivyo wakuu nahitaji msaada wenu.
  11. yakub

    Mbunge akifuatilia mjadala kuhusu katiba

    she z so busy, anafatilia mjadala wa katiba
  12. yakub

    msaada

    Wanajamii naombeni msaada jinsi ya kuangalia encrypted chanels kwenye decoder yangu inayotumia antena ya kawaida.yenyewe inashika almost chaneli zote za ving'amuzi vya tanzania na nyinginezo.chaneli chache zinazoshika ni kama clouds tv,color tv,tbc 1,atn.so wanajamii nilikuwa naombeni ushauri...
  13. yakub

    Kiti MOTO hiki ni BALAA

    <br /> <br /> nonsense
  14. yakub

    Bunge la nani?

    Who is the owner of parliament is wananchi, CCM or CHADEMA maana kila nikifatilia bunge nackia hoo serikali ya CCM imefanya hivi imefanya vile even if wakiulizwa mambo ya msingi wanadefend chama chao. so hili ni bunge la wananchi au Bunge la CCM kupinga hoja za vyama pinzani vinavyowakilisha...
  15. yakub

    Huyu ni miss wa mwituni, wamuonaje?

    i also wondering zat kitu
Back
Top Bottom