Bunge la nani?

yakub

Member
Feb 25, 2011
41
4
Who is the owner of parliament is wananchi, CCM or CHADEMA maana kila nikifatilia bunge nackia hoo serikali ya CCM imefanya hivi imefanya vile even if wakiulizwa mambo ya msingi wanadefend chama chao. so hili ni bunge la wananchi au Bunge la CCM kupinga hoja za vyama pinzani vinavyowakilisha wananchi.
 
Imefika wakati wa kuwatoa magamba umefika manake ss naona wanatufanya watoto sana. Wabunge wa magamba kazi kuharibu meza zetu walipa kodi kwa kupiga makofi tu.ila dawa yao inachemka
 
Back
Top Bottom