Recent content by Yakobi

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Kero: Mita za Umeme zilizopo juu ya nguzo

    mita za kufungwa juu ya nguzo ni janga lingine la kitaifa.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    TANESCO toeni taarifa kwa umma kabla ya kuanza kukata umeme. Kinyume na hapo ni kuwaumiza wananchi.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Harusi zinafilisi, sichangii tena mtu - Acha wanitenge

    Mmmmmmmmhh ww ulishamaliza???
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Walimu waingiliwa kimwili usiku huko Kibondo, Kigoma

    Mmmmmmmmhh picha!!!??? í-½í¸€í-½í¸€í-½í¸€
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima kutembea na kadi ya gari?

    Hii nimeipenda.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mmmmh mi napita tu!!!
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Polisi Tanzania imenishtua

    Dawa yao ni kuwanyima tu. Ukiwapa unaendekeza upumbavu. Mimi sijawahi kuwapa pesa hawa watu. Watanzania nchi hii tunaijenga wenyewe na kuibomoa wenyewe. Big up mleta uzi. Lakini isije kuwa uliwapa hapa unakataa!!
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh. Rais JM Kikwete

    Nkurunziza amepumzika BURUNDI.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Lakin mkuu kumbuka kuwa haya magari yetu yanatokana na vipato vyetu. Lkn pia kumbuka kuwa kila mtu anafanya anachokipenda. Ukitaka vitz haya, opa, ist, spacio, Benz, ni ww tu. After all hakuna wa kukuuliza. Ka passo kangu kananirahisishia mengi. So it's a wrong idea.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Kutoka magazetini kesho (Yanga)

    *Wadaiwa wa Simba waisambaratisha Yanga. *Dida aacha gumzo Tunisia. *Refa aiua Yanga. *Yanga yaendeleza historia kwa timu za kiarabu. *Yanga yatolewa kiume. *Sababu____ za Yanga Kutolewa CAF.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Kwisha! Yanga yatolewa CAF

    Sikumbuki!!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kwisha! Yanga yatolewa CAF

    Kelele kwisha kwisha kwisha kabisa! Kifo cha mende.
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya yadi za magari Tanzania si Salama kununulia magari yetu

    Mkuu umeongea kitu muhimu sana. Siku hizi Japan ni kama kwenda Mbeya.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya uporwaji wa silaha kwenye vituo vya Polisi

    Polisi sitaki hata kuwasikia! Kwanza sijui wapo kwa ajili ya Nani! Niliibiwa vifaa vyangu nikaripoti kwao. Kilichotokea mwizi wamemjuwa, ili wakamfuate mwizi wangu wakaniomba rushwa ya 100,000. Nikagoma, nikawaambia mwizi huyo wamuache aendelee kupeta tu. Hii ni Polisi jamii au Polisi rushwa??
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za kustusha zinazosababisha wilaya ya Njombe kuongoza kwa UKIMWI Tanzania

    Ongeza Nzengelendete, Mgendela, na Kibena mkuu.
Back
Top Bottom