Recent content by Ya Kale

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Sheikh Khalifa Khamis alalamika Waislam kuminywa na Serikali Kuu, TRA na Vyombo vya Dola

    Hivi makamo wa rais mkristo, waziri mkuu nae mkristo, kuna mawaziri na wakuu wa mikoa/wilaya wangap wakristo, kuna wakurugenz na makatibu tawala wote ni wakristo? Awamu iliyopita rais alkuwa muislam mwenzenu mkasema anapendelea wakristo, enzi za mkapa pia mlisema mnabaguliwa, now mnasema...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Mabula kuandamana na machinga Mwanza kama watahamishwa bila kupatiwa eneo maalum

    Mkuu post yako na hilo jengo jipya la TFDA kuna uhusiano gan?
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Naomba nikuelekeze kwa mfano huu. Tufanye nchi imeamua kufuata mfumo huo. Buku iwe ni sawa na dola1 kwa mfano. Kwasababu Tz inaagiza bidhaa kuliko kuuza nje basi watu watakuwa tayar kutoa hata 1200 kupata dola ili waagize bidhaa. Pia ili mfumo inaoisema utumike ni lazma thaman ya imported...
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Sorry hapo juu, mfumo wa siku hizi ni flexible exchange rate
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupandisha thamani ya fedha kwa chenji?

    Ili kujibu swali lako ni vizuri kurejea mfumo wa kubadilishana fedha kati ya nchi na nchi. (Types of exchange rates) zipo aina nyingi za kuamua kias gan cha hela ya nchi hii ibadlishwe na hela ya nchi nyingine. Kwa mujibu wa swali lako mfumo huo inaitwa fixed exchange rate ambapo serikal inaamua...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ujasriamali

    Kwa miaka ya hivi karibu swala la kuwekeza limekuwa ni kitu kisichokwepeka kutokana na: [emoji117]Ukosefu wa ajira [emoji117]Ajira zisizotabirika [emoji117]Kupanda kwa gharama za maisha [emoji117]Kutaka Uhuru binafsi Kama umekuwa na ndoto za kuwa na miradi yako basi hujachelewa. N&P company...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa walimu wa shule binafsi

    Kama wewe ni mwalimu wa shule binafsi na uko serious na kazi tembelea https://m.facebook.com/TPTU-420042448119379/ Ili uweze kupata fursa. NB: Hii ni kwa walimu wa shule binafsi pekee.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Walimu wapata neema

    "Kwakweli tumechoka kuonewa, kutukanwa na kunyanyaswa na waajiri wetu" ndivyo anavyoanza kusimulia Mwalim Kerambo. Kerambo ambaye ni miongoni mwa wahamasishaji juu ya chama kipya cha walimu wa shule binafsi. "Kwa miaka mingi walimu katika shule binafsi wamekuwa wakilalamikia kukosa haki zao...
Back
Top Bottom