Mafunzo ya ujasriamali

Mafunzo ya ujasriamali

Ya Kale

Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
8
Reaction score
4
Kwa miaka ya hivi karibu swala la kuwekeza limekuwa ni kitu kisichokwepeka kutokana na:
[emoji117]Ukosefu wa ajira
[emoji117]Ajira zisizotabirika
[emoji117]Kupanda kwa gharama za maisha
[emoji117]Kutaka Uhuru binafsi

Kama umekuwa na ndoto za kuwa na miradi yako basi hujachelewa. N&P company tutakufundisha

[emoji736]. *ufugaji wa kuku wa kienyeji*
[emoji117]Kujua aina ya ufugaji inayokufaa
[emoji117]Kuchagua aina bora ya kuku
[emoji117]Kujenga banda bora la kuku
[emoji117]Kuchanganya chakula _Tunakupa kanuni ya kuchanganya mwenyewe_
[emoji117]Kutotolesha mayai kwa kutumia njia za asili
[emoji117]Kulea vifaranga kwa njia za kisasa
[emoji117]Kuyatambua magonjwa makuu ya kuku, na jinsi ya kuyadhibiti
[emoji117]Jinsi ya kutafuta soko


Pia tunafundisha jinsi ya kupata mtaji, ili uweze kuanza ufugaji na jinsi ya kupata soko.

[emoji736]Tunaandika katiba za vikundi kama VICOBA n.k
[emoji736]Tunaandika mchanganuo wa biashara (Business plan)


Kwa waliopo mikoani tunatoa huduma baada ya kukibaliana.

Kwa mawasliano:
0624506170
0716444013

Kerambooneinvestment@gmail.com
 
Back
Top Bottom