Habari wana janvi!
Kwa yeyote anaefahamu upatikanaji wa mbegu bora za muhogo ambazo zilifanyiwa utafiti na kuthibitika kustaihimiri magonjwa mbalimbali na ukame, pia zenye kutoa mazao kwa wingi anakaribishwa.
Mimi ni............................., miaka 29, mrefu kiasi ft 6 kasoro, mwembamba, kwa sasa nipo nasoma chuo (1 yr), Natafuta msichana
mzuri
aliye tayari kuanza maisha from zero to hero
mrefu kiasi
mcheshi
asiwe mnene sana
miaka 18 - 21
rangi brown
mwenye elimu kuanzia advanced diploma to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.