Nimetoa majibu yote niliyoulizwa fuatilia thread za nyuma , anyway kila la kheri katika kuwasilisha malamiko yenu ili Martha angolewe Just after being chosen to coordinate Kenya this year . I stand for wht i know sikuwa hapa kulumbana na mtu wala kumshushua mtu its not my thing. Wanaowajua...
Nakubaliana na wewe but mind you kama ni mtazamaji mzuri wa emmanuel tv haikuwa martha peke yake aliyefanya hivyo kulikuwa na other coordinators walionfanya the same eg zimbabwe. Na prophet alitoa agizo hilo baada ya coordinators wenyewe kureport kwake kuwa hiyo mia watu walikuwa wanalalamika...
My brother or my sister sumbawanga. Do you know kuwa mwanzoni Martha was using her home kama ofisi ya kutoa huduma mpaka akaingiliwa na majambazi wakachukua dola za watu wote walizotoa kwa ajili ya safari at gunpoint ndio akaona aanzishe ofisi far from her home kuepusha such risks and thats why...
Sumbawanga mimi sio Martha and ila i know martha kiasi and sometimes i try to help her katika mambo mbalimbali as the spirit directs so i am not saying things out of the air , naomba tuwasiliane inbox kama kweli umekwazika sana na unataka kwenda scoan, i have been to scoan more than once with...
i am just trying to make people understand a number of misconceptions here, i know kuna watu watabarikiwa na kunawengine wataona kama namtetea mtu , but the truth stands ! Kama kweli tumeokoka na tunatambua umuhimu wa huduma hii ya scoan tujitahidi kutafuta ukweli zaidi ya kuassume and make up...
Martha mnaemsema ni mtu ana maisha yake ,kazi anayoifanya halipwi hata senti moja na hata ile ofisi unayoiona analipa mwenyewe hakuna hata mtu mmoja anaemsaidia kulipa pale wala sio kuwa inalipiwa na scoan FYI, kumbuka kuwa nae ni binadamu na yuko yeye kama yeye, zaidi ya watu elfu moja kwa siku...
Ni kweli kabisa mimi nina experience na benki ya NBC , mtu wangu wa karibu kabisa alikuwa na zaidi ya millioni 30 katika account lakini mwaka jana wakati wa sherehe za nane nane ile long wekend alikuta ana balance ya shilingi laki moja na thelathini tuu. Kufuatilia akauta kuna withdrawals...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.