Recent content by XRasta

  1. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

    Sierra Leone ilikuwa colony la Britain na sio France na walipewa uhuru 1961. Ni kweli francophone africa zinasumbuliwa na machafuko ya mara kwa mara.
  2. X

    JamiiForums Tanzania Reggae Roots

    Buckingham Palace - Peter Tosh Blackheart Man - Bunny Wailer Money in my Pocket- Dennis Brown Night Nurse- Gregory Cool Ruler/lonely lover Isaacs Tired fi lick weed- Jacob killa miller
  3. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Fresh ya shamba ndiyo yamekuwa fresh coach siku hizi?????? Route ya kupanda lushoto toka Dar na Tanga kulikuwa na mabasi ya Ngulwi Investment- Leyland Victory, Ubiri - Scania 81&82 model, Shambalai, Gologolo, Shengena/Real No Challenge, Satellite, Rahaleo, Fresh Nundu, Black Nyau, Tongoi
  4. X

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    RK is Rashid Kawawa ndiyo mhusika mkuu
  5. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Another Cat Bus Service, Gologolo, Ngulwi, Ubiri, Shambalai, Umba River, Shambalai, Bin Sleim, Satellite, Rahaleo
  6. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    air msae= metro coach shengena= air bus real no challenge= tashriff masama safaris = harambee coach rundugai= bufallo a.k.a mnyama sawaya= kilimanjaro makundi investment = bm coach kimei video coach =kvc tawfiq= falcon executive taqwa= spider takrim= asalaam?????? Mbarak= al hushoom
  7. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    mbarak yalikwa ya moro -dom, sasa hv yanajulikana kama al hushoom
  8. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Cjapanda ABOOD route ya Dar-Moro toka jan 2003, nikifika msamvu kama naenda Dar huwa navizia mabasi ya kutoka Mbeya, Kyela, Tunduma au Songea maana jamaa hawauweki ucku kurudi huwa napanda Hood ila cku hizi nimehamia BM Coach, Islam nililipanda mara mwisho pasaka 2002 nikaapa cpandi tena maana...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    YARABI SALAMA ilipata ajali maeneo ya mkoa wa DODOMA ndiyo ilipelekea Mzee Ruksa na Tinga Tinga watangaze ratiba za mabasi ziwe mchana tuu na sio usiku, utaratibu huu ulianza mwaka 1992
  10. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Simba mtoto na ngorika ni mabasi yalianza miaka 1960s -1970s na yapo mpaka sasa
  11. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Abiria wa Moro hawapandi mabasi mabovu, mabasi mengi ya Hood yamechoka hasa Dar-Moro, yaliyopo aliyatoa kwa mkupuo kati ya 2003-2006 na hajanunua mabasi mapya kureplace ya sasa njia hiyo. Alipotoa kati ya 2003-2006 Abood, alikuwa haingii mgumu route hiyo Hood zilikuwa zinajaza fasta stand Msamvu...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    HARAMBEE ndiyo ilikuwa Masama Safaris bado wanaenda route ya ARUSHA-MOSHI-DAR. METRO COACH ndiyo ilikuwa Air Msae bado wako kwenye hiyo route ya DAR-ARUSHA
  13. X

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Sharuks a.k.a dar oyee ilikuwa ya Abasi Gulamali. Kilosa kulikuwa na Hood, Islam, Bakhamis, Al Jabry, Kobayashi, Madanganya
Back
Top Bottom