Mimi nashangaa sana, hawa jamaa wa TBC hizo frequency wanazitoa kwa utaratibu gani? maana nimesikia watu wanasema frequency za tbc2 kwenye LNBF ya Ku-band wamezitoa, lakini sijasikia kama zimetoka, na leo ndio kimbembe kina anza, kuna watu wana madish makubwa na hizo LNBF kununua tena hizo...