Madini hutumika kutengezea engine za ndege, silaha kubwa za kivita, Teknolojia kwenye AI,vifaa vya matibabu
Hahahaha kaka mbeya haifikii tanga,huo ndio ukweli usiopenda
Uwekezaji mkubwa wa kampuni ya China kwenye sekta ya madini Tanzania 👇
Kampuni ya Shenghe Resources kutoka China imeanza ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata madini ya mchanga mzito wa baharini - Heavy Mineral Sands
Mahali: Eneo la Tajiri, Wilaya ya Pangani, Mkoani Tanga.
Kampuni hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.