Recent content by Xin shan low

  1. X

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zitenge eneo maalum kwa Taksi Mtandao kushusha abiria eneo la Ferry (Dar)

    Migambo 😇😇😇🤣🤣🤣 Ni mwendo wa kutegeana tu
  2. X

    JamiiForums Tanzania Ethiopia Wanasiasa Marafuku PhD Za Heshima

    Kwa hiyo hakuna kuheshimiana tena? Yaani hata heshima pia mnaionea wivu?
  3. X

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

    Kwenye mipira kunalipa, mo nae si alikuwa mbunge?
  4. X

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hii kesi ifutwe, tuanze upya maisha ni mapambano, tuyaishi
  5. X

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

    Ifike mahali tuache USANII ndio tutapiga hatua mbele
  6. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Amina mkuu
  7. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Hii imekaa vizuri, huku vichochoroni wahuni wahuni sana
  8. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Asante mkuu
  9. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Sawa bwana dakitari
  10. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Huko si ndio watasema imepanda kichwani?
  11. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Wanasemaga wadudu wanne au +4
  12. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Eti eeh, sawa ngoja niende
  13. X

    JamiiForums Tanzania Mnishauri jamani, hizi hospitali zinatuchanganya

    Najisikia hovyo hovyo tu, sasa sijui ndio kuumwa kwenyewe au vipi
Back
Top Bottom