Recent content by XII Tz

  1. XII Tz

    FULL TIME || TotalEnergiesCAFCC || Stellenbosch 0-0 Simba SC || Aggreggate 0-1 || 27.04.2025 || 16:00 EAT || Moses Mabhida Stadium

    Ungeugulia maumivu kimya kimya tu mkuu hukuwa na haja ya kuanzisha uzi
  2. XII Tz

    Kila la kheri Simba SC, Japo kishingo upande.

    Yani wachezaji hata hawajaamka tayari milio kibao
  3. XII Tz

    Wanaharakati wa wachezaji wazawa wanazidi kuumbuka Kwa unafiki wao

    Ni maoni yako na yanaheshimika
  4. XII Tz

    Wanaharakati wa wachezaji wazawa wanazidi kuumbuka Kwa unafiki wao

    Hiyo heshima waliyokuwa wakipewa ni kwa sababu walionesha kitu uwanjani
  5. XII Tz

    Wanaharakati wa wachezaji wazawa wanazidi kuumbuka Kwa unafiki wao

    Kila mchezaji ana ubora na udhaifu wake, muhimu alikuwa anafunga
  6. XII Tz

    Wanaharakati wa wachezaji wazawa wanazidi kuumbuka Kwa unafiki wao

    Sio Kweli, mpole alikuwa akifanya vizuri same kwa mayele kilicho kosekana kwake ni muendelezo tu
  7. XII Tz

    Wanaharakati wa wachezaji wazawa wanazidi kuumbuka Kwa unafiki wao

    Point yako ni nini, wachezaji wazawa wasipewe heshima yao hata wanapofanya vizuri, tuwasifu wageni na kudharau vyakwetu ?
  8. XII Tz

    FULL TIME: Young Africans SC 3-1 TP Mazembe| CAF CL |Benjamin Mkapa | 04.01.2025

    Kila la kheri TP Mazembe, sisi watanzania tupo nyuma yenu
  9. XII Tz

    HAKUNA NJIA HAPA: Ni uongo ambao hauna sababu.

    Ni njia hii hii au kuna unachojaribu kumaanisha ?
  10. XII Tz

    Msaada PC yangu imekumbwa na virus

    Habari wakuu Pc yangu aina ya Lenovo imekumbwa na virus hali inayo sababisha kuwa nzito, movie ku-scratch, kujitype yenyewe mfano kwenye search bar yani mambo ni mengi mno. Nimejaribu mara kadhaa kuipiga window lakini sijapata mafanikio yoyote bado hali ipo vilevile naombeni msaada wenu...
  11. XII Tz

    Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Bado mnawataka hao Mamelodi ?
  12. XII Tz

    Njia rahisi ya kumtongoza mwanamke aliekuzidi umri

    Nichukue peni na karatasi kuna la kujifunza hapa
  13. XII Tz

    Kwanini upo single?

    Kwa sababu hakuna anayenitaka 🥺
  14. XII Tz

    Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Utopolo wameanza kuota mabawa
Back
Top Bottom