Recent content by Xidian

  1. Xidian

    China isingemchelewesha Lowassa

    Hili gazeti la Raia Mwema ni la kishenzi na kijinga kabisa
  2. Xidian

    Nimekubali Nchi Hii Ni Yako, Ila Naomba Nipe Hata Sekta Ya Barabara Mzee

    Viva roma viva Lowasaa ndo Rais wetu
  3. Xidian

    Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

    wadau wote na wanachi kwa ujumla. Msikose kuangalia Mkutano wa UKAWA utakaorushwa na kituo cha itv kuanzia 12: - 1:30 usiku. Mkutano utakua na lengo moja. Mipango na mikakati ya kampeni ikiwemo na kuzindua Mfuko maalum wa changia mabadiliko. Wahusika ni viongozi wa kuu wote wa UKAWA...
  4. Xidian

    Lowassa ana mikakati mizito juu ya kuinua uchumi wa Tanzania

    CCM ninayoijua mimi ilikuwa haiwezi kuwaita wananchi wake wapumbavu na malofa, sio ccm ile ya Nyerere niliyoijua Mimi - Masha Bukoba Nasikitika kusikia kuna vijana walikuwa wamebeba mabango ya UKAWA wamekamatwa,Polisi tendeni haki msitumike - Masha - Bukoba Kuna taarifa tumezipata kwamba...
  5. Xidian

    Yanayojiri Mikutano ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Magufuli mkoa wa Kigoma

    Makamba wote baba na mtoto ni wapumbavu tu, hawana lolote
  6. Xidian

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Makamba ni mburula tu hana lolote, yaani tangu amenunua watu kule uwanja wa Taifa nilimwona mjinga kabisa
  7. Xidian

    UCHAMBUZI: Hesabu za kura kwa Magufuli zinakataa kabisa.

    Eti makala kapewa ukuu wa mkoa,Kweli? Si alikuwa waziri juzi juzi tu,Inamaana hata huko ccm hamna watu wengine wangeweza kazi hiyo na hawana kazi? Nchi ya watu wachache,October 25 mwisho wao. Wataondoka watake wasitake ccm ovyo kabisa
  8. Xidian

    Umoja wa Ulaya (EU) waionya Tanzania juu ya ufisadi wa Lowassa

    Ukiifatilia utajua kabisa ni kitu kilichotengenezwa, kwanza kingereza chake tu ni majanga, pili wametumia mji wa Athenes ambao uko Ugiriki badala ya kutumia Brussels ya Ubelgiji, Tatu, kana EU lazima kuwe na aidha msemaji wa EU au Rais wa EU kitu ambacho hakikufanyika. nimeongea nao wengi...
  9. Xidian

    DC aagiza kiongozi wa 4U Movement kuswekwa ndani.

    Hata Libya walifanya hivyo lakini mwisho wake u ajulikana wananchi wakishataka mabadiriko lazima tu yatokee
  10. Xidian

    Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

    "CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani? -Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba? -Mabehewa feki -Kiwira -Richmond -Epa -Escrow -Epa -Dowans -IPTL -NET GROUP...
  11. Xidian

    Lembeli aanika yaliyofichwa Operesheni Tokomeza

  12. Xidian

    Lowassa Amjibu Slaa

    Tuhamashishe marafiki zetu..wapige simu mikoan kwa ndg zao ili tuunganishe nguvu za kuleta mabadiliko. Pia kila mmoja wetu popote aendapo asiache kushawishi watu hata wa3 kwa siku ili tuwe na nguvu zaidi.. Itakuwa vizuri tukishare kati yetu namna nzuri ya kutafuta wafuasi. J2...
  13. Xidian

    Lembeli aanika yaliyofichwa Operesheni Tokomeza

    Tuhamashishe marafiki zetu..wapige simu mikoan kwa ndg zao ili tuunganishe nguvu za kuleta mabadiliko. Pia kila mmoja wetu popote aendapo asiache kushawishi watu hata wa3 kwa siku ili tuwe na nguvu zaidi.. Itakuwa vizuri tukishare kati yetu namna nzuri ya kutafuta wafuasi. J2...
  14. Xidian

    ITV, hii ya leo ni taarifa ya habari au kampeni ya UKAWA?

    Tunajua mnatumia sana tbccm na starccmtv kwa propaganda zenu bila kujua kuwa Rais wenu ajaye ni lowassa, siji aibu mtazificha wapi? ITV ni kituo binafsi kinatoa habari kwa ku balance maeneo yote kama umefatilia vizuri wameanza na Samia, wakaja Duni wakaenda ccm wakarudi tena Ukawa kwa Lowassa...
Back
Top Bottom