Kaiba sh 100,000/=
Akanunua bidhaa zenye dhamani ya
sh 90,000/= na kurudishiwa sh 10,000/= kwenye duka hilo hilo. Ikumbukwe kuwa (Bidhaa+ 100,000) ni mali ya mwenye duka.Bidhaa thaman yake ni sh 90,000 na hiyo laki moja aliyoitoa mwiz pia ni mali ya mwenye duka, kwahyo kamrudishia laki moja...