Recent content by xcus

  1. xcus

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Your welcome
  2. xcus

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Kiongozi utakua umesikia vibaya ni Didi stone mtoto wa kike wa Koffi ni model anaishi france
  3. xcus

    JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Watu Maarufu waliokuwa wanatajwa sana na Wanamuziki wa Band nchini Tanzania

    Brother hemed bakayoko haishi ufaransa huyu Kwa sasa ni maremu alishawahi kua waziri mkuu ivory coast na kama unafatilia vizuri nyimbo za fally ipupa hivi karibuni , huyu Mzee mpaka alikua anapanda jukwaani kucheza fally akiperform. anamtaja kabisa na analiza na rip
  4. xcus

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Computer programming iwe mandatory kufundishwa chuoni watu wawe scammers tu kama kina hushpupi na kina mompha waingize maokoto
  5. xcus

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Jamaa umeongea point kinoma
  6. xcus

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    100% right
  7. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    I guessed right
  8. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    My favorite character ni INSIDER MAN maana haujatuangusha Kwa boss lady pia ni mpambanaji very inspiring
  9. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wangapi tushaona mimba ya Iryn uko mbele
  10. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tumekusikia na tumeku ignore Mzee mwenye IQ kubwa . Tukuombe tu utusimulie na wewe story tuone how bright your na IQ Yako kubwa
  11. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Unaeza kutupa iyo link mzee
  12. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ongeza maji Kwa story upunguze chumvi ndugu (dilution)
  13. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Eva Eva dah umetupeperushia ndege wetu
  14. xcus

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Opportunist
Back
Top Bottom