Recent content by xavia abel

  1. X

    If you live in North Korea, say goodbye to jeans and piercings

    North Korea has begun a national campaign against Western clothing and hairstyles. Residents have been told to eschew jeans and piercings in favor of local garb. The restrictions come ahead of the country’s Seventh Congress of the Workers’ Party, which will be held early May. Citizens in the...
  2. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Mkuu mm sifahamu kama ni kicheche, hizi taarifa nimeelezwa, ww unatufahamu watanzania tulivyo linapokuja suala la information, ni kweli hawa ni rafiki zangu Lakin siwezi kujua wana agenda gani, may be it is true may not, that's way natafuta namna ya kufahamu ukweli ili maamuzi yangu yawe sahihi...
  3. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Hapana, hatukua tunatumia kinga, tuliacha kutumia baada ya kupima human immuno diffeciency syndrome (HIV), baadae tuliendelea Bila kinga
  4. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Mkuu usitafsiri hivyo, mapenzi yanaota popote na yanajitokeza ktk mazingira yoyote, hivyo mapenzi na huyu binti yanajitokeza hivyo tu sikutegeshea au kulenga kuwa nae, ni ukaribu wa kazi
  5. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Nimeuchukua ushauri huu
  6. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Mm nje nimekwenda sehemu nyingi tu duniani Kutokana na kazi yangu, jinsi navyomchukulia hakuna tofauti na msichana wa kitanzania, tulipendana tu katika Hali ya kawaida Bila kujali rangi wala status, Nayatilia mkazo sana maonyo yenu, lakini hadi kufika hapa jukwaani nimezingatia pia tabia yetu...
  7. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Kiongozi nina miaka 39 na yeye ana miaka 32 Kanipendea nn hilo swali limekua gumu kidogo kujibu, tulipendana tu kama ambavyo watu wengine wanapendana
  8. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Mkuu suala sio mzungu, ishu ni kuwa niamini hizi habari au la? Hilo ndio linanisumbua, Mchumba anadai si kweli na anasimamia hapo
  9. X

    Workmate anadai katembea na mchumba wangu

    Wadau habari zenu, i hope wote mko poa Mm nina fanya kazi katika organization inayojihusisha na utafiti wa magonjwa ya binadam na afya kwa ujumla, shirika hili linafadhiliwa na nchi moja ya ulaya , hivyo hapa tunapokea wazungu wengi sana sana Watafiti na wanasayansi wa afya kutoka taifa hilo...
  10. X

    Could the US's new hypersonic missile spark World War 3?

    The US has reportedly created a new missile as part of the Pentagon's development of hypersonic technology. But the US military has insisted that the weapons will carry conventional missiles rather than nuclear ones, as the arms race with China and Russia grows more intense. The new missiles –...
Back
Top Bottom