Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja kushika dola na baada ya hapo ukaanza kufanya mambo yale yale ambayo walikuwa wakiyakemea...
So...
Japo unampa njia uzinzi...!
Lakini ni Msaada mkubwa na mzuri ambao unawafaa vijana wengi na hata kupunguza matumizi ya madawa ya uongo (Nguvu za kiume).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.