Recent content by xambi

  1. xambi

    Kama amenichoka aniambie niende kwetu

    Kaa kimya lea watoto wako, kuhusu kumfumania mwambie nimekusamehe kiroho safi na usikumbushie then usilalamike kama hataki kutoka na wewe au watoto,fanya wajibu wako,jikeep bize na shughuli zako,jipende,fanya ibada sana na wekeza muda wako kwa watoto wako,toka nao,cheza nao na uwahudumie vizuri...
  2. xambi

    Nimemfumania mume wangu PR Hotel sikia haya

    Wewe unaweza kuwa mama yangu kabisa ila naomba nikushauri yafuatayo 1.Acha kumfuatilia mzee fanya shughuli zako na kuwa nazo bize 2.Msamehe kila alichokufanyia kutoka moyoni na mweleze kuwa umemsamehe kabiska 3.Endelea kufanya majukumu yako kama mke na mama bila kuningunika 4.Acha kutangaza...
  3. xambi

    Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Mimi naomba nikushauri hivi usiondoke kwenye ndoa wala kwenda popote na fanya yafuatayo 1. Usikatae yeye kutoa misaada kwa ndugu kubali tu hata kama huafikiani 2.Hao waliopo hapo watunze vizuri usilalamike wala kuwashtakia kwa mume 3.Usieleze mambo yako wala kulalamika kwa mtu hata hubby...
  4. xambi

    Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

    Wapo sana mkuu trust me wapo.Tatizo hamuangalii tabia mnaangalia physical appearances
  5. xambi

    Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona!

    Kama unataka kupungua uzito kataa sema tu upo diet na huko kwenye mialiko unaweza kula tu salads na juice usiathiri mpango wako wa kupungua.ila sijui kwanini mtu uliwa diet offer zinakuwaga nyingi??
  6. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Nashukuru sana mkuu. Dah Nimeingia humu nakutana na hii. Najaribu tu kusambaza na kushare nilivyofundishwa na wakubwa zangu.
  7. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Sorry that come out wrong never mind. The next post is what i wanted to say. Apologies
  8. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Umeshasema ndoa ni hypocritical institution mimi na wewe hatuwezi kuzungumza chochote. I hope siku moja utaelewa nilichoandika
  9. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Maana yangu ni hii. Usiingie kwenye ndoa kwa kufikiri utapata mapenzi huko tu ila ingia kwasababu unataka kujenga familia bona ukifanya hayo mapenzi yatakuwepo automatically mfano ukifika unafanya majukumu yako yote kwa mume/mke na watoto ili familia iwe bora na nzuri lazima huyo mume na hao...
  10. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Mkuu siku nilipogundua kwamba mimi ndo naweza kubomoa au kujenga ndoa imara as mother na mke aiseee sichukulii rahisi vyeo vyangu hivi maana kuna siri kubwa sana. Hili suala lipo spiritual sana mwanamume ukifanya ujinga kwenye ndoa mke aka komaa baraka zinahamia kwa mke ila mke ukifanya ujinga...
  11. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Usisahau kufua boxer za baba chanja na kumtayarishia bafu pamoja na kunyoosha nguo za kazini. Hapo ndo thamani ya mke inaonekana zaidi fanya projects zako kwa manufaa ya familia na sio kumkomoa mzee matunda utayaona
  12. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    NB;wanawake wema wapo na wanaume wema tupo Hapa pamenikosha nakubaliana nawe asilimia zote
  13. xambi

    Kulikoni ndoa za siku hizi?

    Mkuu kinachofanya ndoa ziwe ngumu siku hizi ni watu kuingia kwenye ndoa bila kuelewa wanakuwa humo kwa sababu gani? Sasa hivi ukisema uulize mtu kwanini amefunga ndoa ni wachache sana watakaokupa majibu ya kuridhisha nilichokiona kwa muda niliokaa kwenye ndoa ni yafuatayo 1. Wanandoa wanajua...
  14. xambi

    Alinipiga mpaka kuniharibu kizazi kisha akaniacha kwasababu siwezi kuzaa

    Kama umesamehe na umeamua kusonga mbele Mungu anakuona. Kuhusu mtoto unaweza kuaddopt mtoto yeyote akupe furaha unayohitaji
Back
Top Bottom