Recent content by xallito

  1. X

    JamiiForums Tanzania Narudia tena Rurion Kenshin ni movie bora kwa muda wote

    Hii movie ni kali sana sana yanii unapigwa mkono humo balaaa
  2. X

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

    Sawa mkuu ila nimetoa utangulizi tuu na badae nikaweka link ambayo unaweza kwenda kwenye tovuti kupata taarifa zaidi.
  3. X

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

    Salaam, Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Inawezekana mkuu as kweny kujilipua njia yoyote inatumika ni kama vita tuu huchagui silaha...cha kufanya kwanza upate admission ya chuo then uombe student visa na student visa ni moja ya visa ambayo success rate yake ni kubwa tofaut na visa nyingne
  5. X

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Canada hawatoi VISA siku hizi au tatizo ni nini?

    Sio rahisi ila inawezekana
  6. X

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ni kuna mji kule ina upungufu wa wafanyakazi na kuna professional zinahitajika sna hasa health and engineering japo hata kwa nyingne unaweza kuomba kwa skilled labour uwe kuanzia na bachelor degree Kupata offer letter ya kampuni yyte kule kwenda kufanya kazi lazma kwnza waitangaze hyo kazi...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ndio hasa canada mkuu unaweza kwenda kupitia skilled labour immigrant program
  8. X

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Kuhusu visa Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi Ni PM au uliza...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Kupata visa

    Una invitation tayar au hauna mkuu
  10. X

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Canada hawatoi VISA siku hizi au tatizo ni nini?

    Kwa wanaohitaji visa ya canada, USA na SCHENGEN countries (France, Italy, Sweden, Finland Germany) kuanzia invitation mpka maandaliz ya interview..ni Pm au uliza hapa swali lolote ntakujibu
  11. X

    JamiiForums Tanzania Kupata visa

    Document mkuu
  12. X

    JamiiForums Tanzania 7 invisible tricks interviewers use to trick job interviewees

    Nimecheka sna
  13. X

    JamiiForums Tanzania Nini kinahitajika kupata visa ya Canada?

    Kama yeye ata accomodate kila kitu ukifika kule bas yy anatakiwa kuprove financial stability yake kama ataweza then anakukatia ticket na kila kitu yeye? Ww unajihisisha na nini hapa Tz? Km unafanya kaz au biashara jitahid uweke statement hata yenye hela kias wakuone una kitu angalau maana...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Nini kinahitajika kupata visa ya Canada?

    Medical check up labda kama ni mwanafunz ila kwa tourist sio lazma cha msingi uwe na kitab cha yellow fever kwajil ya kupita airport Finger print kwa canada kuna kuchukuliwa biometric (fingerprint na picha) ambazo zinafanyika pale pale ofsin kwao hyo ya wizarani pale mambo ya ndani ni police...
Back
Top Bottom