Recent content by x-pel

  1. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mtu na mke wa mtu kufungua kampuni bila ya kuwajulisha wenzi wao

    Iwe fundisho kwa ambao hawajaoa na kuolewa...
  2. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya mke wangu kunisaliti sasa ndoa yangu inapita kipindi kigumu

    mpululu Hospital wanapima...Ebu mpeleke Agakan faste asije kukuharibu....
  3. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife material kumkuta hajaolewa bado 5 years after graduation, haya sio maigizo kweli

    hizo assumption tuu........Iv ndoa ni LAZIMA ????hebu watu fanyeni ya msingi kuliko kudiscuss personal life...husome humu ndani watu walivo na visa?????
  4. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu amenisaliti na kuweka picha ya kimada Instragram, Hanijali na nina mimba

    Ila nami nimewaza ni umri ndo tatizo kubwa...Lakin duu.....pole yake dada.
  5. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kumpenda mwanamke huyu, nashindwa kumuacha

    Pole sana ..
  6. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Huyu fabinyo anasoma hiz comment au ????Maana katika list ya matahi..r..a yupo yeye mkewe ..unampiga mtoto wa watu kwa uzembe wako...yaan kwa mshahara gan haswa unaompa
  7. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    fabinyo Kwel wewe ni Fabinyo.....ninawaswas na uwezo wako wa kufukiria na kutoa maamuzi...Unakosa utu kiasi iko??Yaan ningekuwa ndo umenipiga NINGEKULOGA....Narudia tena...Ningekuloga...!Iv unajua ni jins gan huyo dada amekuwa msaada kwa familia yako...hela unayompa wala hailingani na makaz...
  8. X

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

    Uliona mbali kweli...hongera
  9. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    Uwiii pole..mungu akutie nguvu hamna linaloshindikana kwake
  10. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Lool pole maana duuu....!Iv kuna haja ya mim nisiyekuwa kwenye ndoa kweli niingie huko???lool
  11. X

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kuweza kushika mimba

    nadorim Waambie na wengine ni marufuku kutumia njia za uzaz wa mpango kabla ya kuzaa.Wengi nilioona wanatumia ivo vidonge wamepata shida kwenye kuzaa ...na wakati mwingine hawazai kabisa...Ushauri aende kwa Daktari.Nawashauri kulingana na experiance yangu...wadada ambao hamjazaa msitumie hizo...
  12. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naweza kuoa mwanamke aliyetalikiwa na rafiki yangu?

    trueman ricardo Umenikumbusha kuna mama jiran mkenya hapa kitaa..jion kila siku lazima afanye homework na wanae..hasubuh lazima awaandae kuwapeleka shule ndo aende kazin japo ana wasaidiz hapo kwake ...Kama anajali watoto kias iko na wew una amani naye...Aisee oa ...
  13. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada: Mdudu anayekuza manyonyo

    Nawakumbuka sana...Na vile utotot tena..
  14. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

    SAWEBOY Mtoa mada jipanga bhana.....Yaan wewe kitu gan kimekufanya mpaka utoe mada kama hii lakin...Umri hauna Limit ya kuoa wala kuolewa...Nashkuru mungu shule zimeshaanza kufunguliwa.
  15. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina malengo naye lakini ukarimu wake unaniweka pazuri

    Kuliko kuzunguka bora uwe direct kabisa ,Ukweli utakuweka huru..wewe mwambie ukweli tu ataumia lakini pi atasahau.Iv unaona raha gani kicheza na hisia za mtu.
Back
Top Bottom