Recent content by wwg

  1. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

    Mbona hata serikali tunaichangia kupitia Tozo
  2. W

    JamiiForums Tanzania 20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Kwanza wasomi wengi hawatumii akili zao wanatumia akili za wengine wanakalili
  3. W

    JamiiForums Tanzania 20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Washamba niware wanaokalili wakiona kitu tofauti na walicho kalilishwa wanashangaa kamfano huo nawewe ni ...
  4. W

    JamiiForums Tanzania 20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Acha kukalili
  5. W

    JamiiForums Tanzania 20 Greatest Tanzanians Of All Time

    Kwanini mnapenda watu wote wafanane. Ameamini wasomi wengi hawatumii akili zao wanatumia akili za wengine. kwani alichokiandika hukukierewa unataka aandike kama ulivyo kalilishwa shule
  6. W

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia imefichua ukweli kuwa lindi la umasikini linaongezeka kwa watanzania!

    8000 kwako nindogo kwawengine kuipata nivigum hata ukiomba wakusaidie hiyo 8000 serikali inachukuwa mchango unaoitwa Tozo kwenge huo msaada wako
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nimegundua haya

    Na ikitokea ukakuta Huyo Mungu unaemuamini kumbe ndie shetani hapo napo tusemeje
  8. W

    JamiiForums Tanzania TRA yaweka rekodi ya karne, yakusanya Trilioni tatu kwa mwezi Desemba Pekee

    Umesahau Tozo zasim
  9. W

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Umesahau na Tozo za sim bado
  10. W

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

    Tozo zinaenda wapi
  11. W

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maisha mengine baada ya hapa duniani?

    Hats hao wanaosema kunamaisha baada ya kifo hawajawahi kufa pia
  12. W

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mkiendelea kuchanganya Dini na Siasa huko mbele patatokea mtawala atakayeamua kufunga makanisa yote na hamtamfanya chochote!

    Waanze wao namanisha viongozi wote wa kisiasa wasiwe na dini maana watakuwa wanachanganya dini na siasa wachague moja.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Kurekebisha Sheria ya Uchaguzi bila Kubadilisha Ibara kadhaa za Katiba ya JMT itakuwa ni Kazi bure!

    Kwahiyo unamanisha mtu akijiunga nasiasa yampasa aikane dini yake kuepuka kuchanganya dini na siasa?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Prof. Mruma kule Mahakamani utakubaliana na Prof. Mbarawa kwamba kwa sasa Watanzania hawawezi kuendesha Bandari!

    Nahapo ndio tuwe makini nahii miswada ya kibadili sheriya za uwekezaji yasitukute kama haya
Back
Top Bottom