Recent content by wrxsti

  1. wrxsti

    Ushauri kuhusu gari BMW Series 3 ama Subaru Impreza

    Chukua subaru impreza wrx sti..6 speed manual, 2.0 sti engine. Very powerful and it takes u from point A to D very fast. 2.0 cc, fuel consumption inategemea na uendeshaji wako na All wheel drive .ie four wheel drive..spea zipo na mafundi wapo wengi maeneo ya ada estate kinondoni. BMW ni nzuri...
  2. wrxsti

    Ruto set to be jailed at the ICC

    I doubt that
  3. wrxsti

    Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

    Dr Slaa hawezi kuwa rais wa nchi hii..familia imemshinda kuanzisha urais atauweza? Chadema wao wapambanie majimbo tu na sio urais kwani bado sana wao kukomaa kisiasa. Hivi chadema kuna wabunge zaidi ya watano wanaofaa kupewa wizara?
  4. wrxsti

    SADC yamuonya Kagame kuhusu mipango yake ya kuivamia Tanzania baada ya kuomba msaada wa ki

    Vita sio kitu kidogo na wala sio jambo la kushabikia kabisa. Wakenya wao kimyaa wanafaidika na mgogoro wa Rwanda..jambo la kujiuliza; when pk said I will hit u..dd he mean war??
  5. wrxsti

    PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    Sugu Moto chini..Sugu Moto chini..
Back
Top Bottom