Recent content by Worrior of God

  1. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    West walishajua walifanya mistake, hizo delay za kupeleka Tanks na silaha kali walishazipanga kutafuta sababu namna gani watajitetea. Kuna watu wanafikiri wanaelwa propaganda vizuri, lakini baada ya muda sio mrefu watajua walikuwa hawajui.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ni sahihi. Watu wanaojua kuomba, waombe Mungu sana, maana muda simrefu kunashambulio baya sana linaandaliwa. Na visit ya Ebrahim raisi huko china sio hivihivi.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kwenye mchezo au sanaa ya karate kata zina umuhimu gani kwenye mapigano

    Ni msingi wa muhimu sana, ni kama somo la imla linavyomuandaa mtoto kusoma vizuri. Namna ya kucondition mwili uweze kufanya movement na mapigo automatically. Unapozoea kufanya kitu kila siku, hata inapotokea hatari na ukatakiwa kujiahami, mwanakarate hufanya baadhi ya techniques automatically...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nina mwaka wa 4 tangu nipige stop TV nyumbani kwangu

    Kaka kwanza pole sana, katika dunia iliyojaa uchafu mwingi tumia njia aliyotumia Mungu kutuacha watoto wake wapendwa hapa duniani huku akitufundisha mema na mabaya na kutup nguvu ya kushinda uovu, wala hakututenga tusione technolojia maana pia ni msaada ikitumika vyema. Una nia njema sana lakini...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Trump aushutumu uvamizi wa FBI kuwa silaha ya mfumo wa Haki

    Mmeona kiini cha msingi sana ambacho watu wengi hawakioni na hawajui sababu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Trump 'aliiba' nyaraka za siri za serikali alipohama Ikulu ya White House

    Ni muhimu sana kufanya analysis ya kina katika taarifa tunazopata kutoka vyombo vya magharibi ili kuonyesha ukomavu, tukijua hakika kuhusu namna vinavyofanya kazi na kwa kipindi gani.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    Ndio vita ilivyo, kupoteza askari na silaha ni kawaida kwa vita zote hata kwa mataifa makubwa. Kwahiyo media za west kusema urussi wamekutana madhila hayo warejee us vietnam war na ops za uarabuni wajitathmini troops ngapi zilipotea. Ni mtu asiyejua vita utakayemwabia warussi wamekufa wengi hiyo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hivi TANZANIA tuna Air defence system ya aina gani?

    Pole sana kwa fikra zako. Jifunze kujua kila jeshi lina silaha kuanzia ndogo hadi kubwa.hizo silaha umeona unazoita uchafu zinatumika na mataifa madogo na makubwa ndugu. Ungefanya utafiti mdogo tu google ungejua inatumika na nani na katika level ipi. Sio kila sehemu kwenye vita utaona makombora...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Arusha kama mji wetu mkuu wa kitalii una Hoteli yoyote inayomilikiwa na brand kubwa?

    Gran Melia. Tafuta Melia international hotels or developments.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Scottie Pippen

    Ni mapacha wa kazi kabisa.. Na marafiki wakubwa... NBA all star... Wanamuelewa
  11. W

    JamiiForums Tanzania Scottie Pippen

    Bila kusahau vioja na ukaksi wa Denis Rodman.. Zile rebounds za kibabe.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Scottie Pippen

    Sawia!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Scottie Pippen

    [emoji2][emoji2][emoji28]dah what a memory!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Scottie Pippen

    Sio balaa tu.. The second to Jordan ndani ya Bulls na ilikuwa hatari sana. Nyakati zile tech sio kama sasa lakini watazamaji all over the world.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Scottie Pippen

    Bulls vs uttah huku Jordan huku mtu mzima Karl malone... Unakumbuka hiyo shughuli... Siku zinasonga sana..
Back
Top Bottom