Recent content by wonishi

  1. W

    Lema awaliza NCCR Manyara, kigogo ahamia CHADEMA!

    Huyu Bwana TARA ni choka mbaya.amewadanganya wananchi wake kuwa atashinda kesi matokeo yake ni kupigwa chini kila akienda mahakamani.wananchi wamemchangia mpaka wamechoka.anadhani akibadilisha Chama atazaliwa upya?wajinga ndo waliwao.!!!
  2. W

    Nahitaji CV ya mkuu wa wilaya ya Temeke

    Binadamu bwana!akiwa mzuri tabu!duh!
  3. W

    Faida za habbat soda

    Nakubaliana na ushauri wako mkuu,faida za habbat soda ni nyingi mno.mimi sio Mwislam lakini Mtume Mohhamed alivumbua kitu ya maana sana.ukichanganya Hsoda,Mafuta ya Ubuyu na asali safi matokeo yake utayaona baada ya mwezi mmoja tu.kama wewe ni mtu mzima mwili wako unarudi fiti kama kijana wa...
  4. W

    Ada ya mja

    Pamoja na nguvu yako ya hoja uliyoijenga hapa,bado hawa jamaa wa M4C na mashabiki wao watakuja na hoja za nguvu wakidhania cku hizi bado watanzania hawana upeo wa kuelewa.wameshastukiwa hawa jamaa.Automatically they have switched themselves to M4D(movement for DEATH)without there...
  5. W

    Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    Mimi nashindwa kuelewa,hivi mahakama hii itawahusu wanaume wa Kiislam tu au ni pamoja na wanawake wa Kiislam? nauliza hivi kwa sababu sijasikia hata siku moja ametokea mwanmke wa Kiislam kuunga mkono hii mahakama.Are they interested with this?mahakama hii itawasaidiaje wanawake wa Kiislam?au...
  6. W

    Naomba kujuzwa!;ni kweli wanawake wanafurahia zaidi wafanyapo mapenzi kuliko wanaume? 75% by 25%?

    Wakaka wanaenjoy pale tu wanapomwaga zile vitamins!! lkn wenza wetu moto unaposhika kasi usipime!!
  7. W

    Naomba kujuzwa!;ni kweli wanawake wanafurahia zaidi wafanyapo mapenzi kuliko wanaume? 75% by 25%?

    Hallow wana JF,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ktk uwanja huu wa mapenzi,wawe wadada au wakaka,eti ni kweli wanawake waenjoy zaidi wanapokuwa kwenye malavidavi kuliko wakaka?maana wapo wanaopiga kelele mwanzo mwisho ukiacha wale ambao wako kibiashara zaidi.Kwamba wao (wadada)wana aslimia...
  8. W

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Mtu yeyote muungwana na mwenye upeo wa kisomi atakubaliana nami kwamba ubobezi katika kujenga hoja unatawaliwa na utulivu wa kifikra na wala sio jazba. Jazba ni matokeo ya kukurupuka kutokana na kutokuwa na hoja ya uhakika. huko ni kujilinda dhidi ya mashambulizi ya nguvu ya hoja,hawa mashabiki...
  9. W

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Nawashangaa wanaomshambulia KIBANDA!! Mbona anapoandika makala nyingine za kuiponda CCM hata kama sio za kweli mnamuunga mkono?Naona imewagusa sana wale wasioitakia mema nchi hii.waliozoea kuandamana kwa kupewa ujira wa viroba bila kujua wanaharibu afya zao,na wanaweza wasifike 2015 kwa sababu...
  10. W

    Haya ni mapenzi au kujidhalilisha!!

    Hii kali!!!Limbwata au?
  11. W

    Mbeya na Kilimanjaro: Siri ya mafanikio yao ni nini?

    Mtoa mada amejaribu kutoa changamoto kwa mikoa mingine.Nampa big up sana.
  12. W

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    kulikuwa na mabasi ya "SIRI YAKO"Dodoma-Dar, yanamilikiwa na mwanamke.sijui kwa nini aliyapa hilo jina!au aliyapata kutokana na uchumi wake aliokuwa ameukalia,.a.k.a O713!!!
  13. W

    Nim-motivate vipi boss wangu? Mahusiano yetu yanazidi kuwa mabaya!

    wewe bado utoto unakusumbua.you are still at foolish age!!!
  14. W

    Faida ya CHAFYA wakati wa Tendo la Ndo...

    huko 0713,inakuwa vise versa!!
Back
Top Bottom