Unachotakiwa ni kukaa chini na huyo mkeo na muelezane nn kinachowasibu isijeikawa ana matatuzo yy binafsi lkn kutokana na ukali wak akashindwa kukuambia kinachomsibu na je ni mkeo wa ndoa ya halali au mpnz wako tu wakawaida
]Mama: Mwanangu hebu mpigie
simu baba yako mwambie
chakula tayari
Mtoto: Sawa mama
Mtoto: Mama simpati
Mama: Bac subir kama baada ya
dakika tano mpigie tena
inawezekana ni mambo ya
network hayo.
(baada ya 5 mins)
Mtoto: Mama mimi baba simpati
simu yenyewe anapokea
mwanamke.
Mama: Kha! Sawa...
Kumsaliti sio njia sahihi hato hao wanaokushaur utoke nje ya ndoa yak hawana busara utakiwacho ni kukaa na huyo mumeo muweze kuelezan na kujua nn tatizo jambo lingine kama angekuwa hakufikishi kilele usingefanikiwa kuzaa naye jambo ambalo huwa tunalisahau ni vyakula tunavyokula navyo huchangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.