Recent content by WiZe G

  1. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Hakuna msamaha wa Rais wa kifungo cha nje, Magereza jitafakarini

    Kama huna taaluma ya magereza huwezi kuelewa chochote, waachie wanaohusika,hivi kutumikia kifungo cha nje huoni kama umesamehewa adhabu kubwa ya kukaa jela, je wale tulioambiwa wamesamehewa kwa kupunguziwa sehemu ya vifungo vyao na bado wapo jela nao utasemaje?
  2. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Kutokea kwa mimba siku zisizotarajiwa

    Wanawake wanatuchanganya sana, ni kweli kabisa ukiwa unaenda kavu kavu tegemea kukutana na maajabu mengi, hivi inawezekana siku ya kwanza ya hedhi mwanamke akashika ujauzito?
  3. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Ukifuatilia vizuri huyu Jamaa kama wa mozombique
  4. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

    Ni wengi wamefunga aina hiyo ya magoli na hakukuwa na shamra shamra za kuzidi,lkn kwa u star wake yawezekana watu walipenda na yeye afunge aina hiyo ya magoli na wamesubiri sana, ghafla imewezekana
  5. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Gerezani kuna raha gani mbona Nondo katoka huku shavu dodo na kanenepa sana?

    Nenda utanenepa tu, na unavyoonekana unapenda vya bure!
  6. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Vijana zaidi ya 3,000 warudishwa nyumbani baada ya kumaliza mafunzo ya JKT kwa kujitolea, wakosa ajira

    Kwa nn wasirudi wakati walienda kwa kujitolea na mkataba umeshaisha?umuhimu unaousema ulikuwepo miaka ya 90,sio miaka ya sasa jombaa, nadhani huelewi kinachoendelea huko.
  7. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Simba ni mnyama na chui ni mnyama lkn hawafanani, nyuzi kama hizi huwa ni nyingi humu cjui huwa zinalenga nn hasa, ni vema kuwafananisha simba wa msumbiji na simba wa Tz nadhani inaweza leta maana kuliko kumfananisha simba wa Tz na chui wa Tz wakati ipo wazi kabisa kwamba wapo tofauti japokuwa...
  8. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Gerezani siku unapowasili na kuanza kutumikia kifungo

    Umeshawahi kufungwa na kufanyiwa hayo? au ni story za mtaani tu?tujuze tuelewe
  9. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Timu za Australia gg huwa na uhakika zaidi kuliko option nyingine
  10. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Tabia ya watoto kunyonya vidole, sababu ni nini na ipi tiba yake?

    We Jamaa, duuh!
  11. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanajeshi wengi huwa wanasaidia sana ndugu zao kuliko polisi?

    Mmh,mada Nyingine!kuna kitu unatafuta.
  12. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportpesa jackpot wanalipaje kwa washindi wa game 12,11 na 10 ?
  13. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Huu hapa umri sahihi wa Shilole

    Miaka 38 unasema umri umeenda sana,kwa Mugabe kule mbona ndio kama mtoto wa miaka 8,maana Mugabe anasema yeye bado kijana.
  14. WiZe G

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Vikosi vya kulinda amani vyashambuliwa, wanajeshi 14 wa Tanzania wauawa, 44 wajeruhiwa & 2 hawajulikani walipo

    Hawakai kambi moja, then Tz ndio wapo front line,ndio maana matukio mengi yanatukuta ss
  15. WiZe G

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mchezo huu unampa faida sana mhindi, ss makabwela tunaumia tu kutokana na tamaa zetu, unaweka jero unataka laki, is it possible? Kila cku tunaliwa lkn hatukomi maana wengi tayari ni addicted na mchezo
Back
Top Bottom