Huu utawala hautendi haki! Mtu ana matatizo ya moyo unamwondoaje hospitalini? Unataka afe ndo ufurahi? Kama ni visasi wskristu tunaambiwa kisasi ni cha MUNGU! Sasa huyu siyo shetani kweli?
Kuna MTU nafikri akili zake siyo timilifu! Mimi nashauri kabla rais hajaagiza kukaguliwa vyeti vya kuzaliwa tupimwe kwanza utimilifu wa akili! Na hii iwe kwa wote bila kujali wanasiasa au babake na Bashite!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.