ENEO: Ukubwa wa 6,196 sqm (mita za mraba).
Ambalo limeendelezwa kwa kujengwa ukuta na majengo ya matumizi mbalimbali ambayo yapo katika hatua za kumalizika. umeme umekwisha fikishwa wa “three phase”.
Eneo lipo karibu na shule ya primary na secondary ya St. Flora/Mikongeni, lipo kwenye barabara...
Kwa wale wanaofuatilia kwa karibu mzozo wa urusi na marekani ukihusisha nchi za Ulaya kwa karibu sana. Utaona ukweli wa maandiko na machapisho kuhusiana na uwepo wa Mahandaki na miji chini ya ardhi kama inavyoelezewa, jambo moja linaloniaminisha kuwepo kwa vitu kama hivyo ni zoezi liliofanyika...
Dunia inapozungukwa na Vyombo vya kiitikadi kwa malengo ya watu fulani kwa kueneza ujinga!! BBC walipaswa kutoa taarifa kwa ufafanuzi zaidi hichi kichwa cha Habari kinakusudi la kuonyesha Urusi wanafanya mambo kiujanja ujanja wakati si kweli: Taarifa za kweli ni kwamba Urusi kupitia Ubalozi wake...
Mzee wa Urusi ametamburisha Leo kombora jipya kabisa ambalo hakuna nchi yenye kitu kama hicho..hilo kombora linaweza ifuta Ufaransa yote kwa madakika baada ya kutua ardhini. Wakati NATO wanaliogopa sana kombora walilolipa jina SATAN jamaa ameleta SATAN2:
This Russian nuke is the devil in...
Tanzania inchi yangu nakupenda sana nakutamani uendelee kuwa sehemu tulivu na amani yenye rutuba ya uhuru na haki kwa watu wote..nakutamani kwasababu sitauona mwisho wako kwani kwa upendo ulionao utawalea wanangu na watacheza vyema mikononi mwako wewe ndiye mama yangu Tanzania.
Daima viongozi...
Wananchi hivi kuficha ukweli ni hulka ama mila za sisi waafrika? Niseme tuu marehemu aliishi na wake hao aliowasema Raisi bila kificho na hata kanisa alilokuwa akipata huduma za kiimani lilijua. Kama alikuwa ni Mromani Katoliki...Basi kumbuka sakrementi ya kitubio ya kukili imani yake (mojawapo...
Hapa naona wachangiaji wengi wanachangia hoja kwa taarifa za Kisiasa zaidi lakini tangu Marekani awekeze mradi wa mitambo ya kujihami na makombora ya masafa marefu katika inchi za Ulaya, kuna wachangiaji wanaamini habari ya mrusi kitechnolojia ya silaha na kujihami imepatwa...lakini wanasahau...
Kiongozi lazima uwe mtu unayewaelewesha wananchi na wadau wengineo kwa ufasaha na uelewa wa dhati juu ya jambo ambalo aidha unategemea kulifanya ama umelifanya ili kuondoa uwezekano wa kutoeleweka ama kusababisha ukwasi katika fikra za watu hasa raia wako na washirika mbalimbali kwa makusudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.