Recent content by wivtos

  1. W

    Usalama wa Taifa kashfa zote hizi huwa mnakuwa wapi kuzizuia mapema?

    ndo walewale,ndo maana hawana cha kusema,tatizo la nchi hii ni mfumo wa uongozi
  2. W

    katiba

    naomba kuuliza wadau hivi,katiba hii ni ya chama cha mapinduzi? au ni ya watanzania! na kwa nini hawa ndugu zetu wanaendelea na mijadala ya katiba? kulikoni ccm vs katiba? naomba michango yenu
  3. W

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mtuachie mashetani wetu! hata tukishuka daraja poa,
  4. W

    Wazee Wawili na Vijembe

    hatari sana
  5. W

    Matatizo ya mishahara kwa walimu

    mi nashindwa kuelewa walimu kulalamikia mishahara midogo nani wa kulaumiwa? je cwt kazi yake ni nn,au kazi yao ni kula pesa za walimu! mfano,kwa musoma vijijin hata pesa za matawi cku hizi kuleta ni tatizo! nchi hii inatupereka wapi,nani atakuwa msaada kwa walimu kama hata chama chao cha walimu...
Back
Top Bottom