Naombeni ushauri.....Mtoto wangu kapata division 11 point 20....kapata:
Civics - C
History -C
Geography - C
Kiswahili - C
English - B
Physics - D
Chemistry - D
Biology - C
B/Maths - C
Alikuwa anataka PCB,PCM,PGM je anaweza chaguliwa combination gani?
Nina mdogo wangu,alifunga ndoa mwaka 2009 akaishi na mume mwaka 1 baada ya hapo wakatengana mwanaume alimfukuza kama mbwa na kufikia hatu ya kumpeleka polisi eti ameiba moja ya gar walizokuwa wamechuma pamoja,sasa huu ni mwaka wa pili hawaishi pamoja,sasa anauliza afanye nin?anahitaj vitu vyake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.