Recent content by wisu

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jihadharini na Wanaume mashoga wapo sana Jamiiforums

    Mmmmh!! kazi ipo.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kununiana katika mapenzi

    Yaani Harufu upo km mm!! tabia ya kununanuna mm siipendi bac tu.Mi huwa nashangaa mwanamume kununanuna tu kitu kidogo lenyewe linanuna.
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    Daaah!! Zinc eee acha hizo bwana!! mbona kwenye kugegeda hukuomba ushauri kwa wadau? na ulipokuwa unamwagia mwenzio yale maji ya uhai ulitegemea nn? au ulidhani mchezo? we malizana nae km mlivyoanza bwana wacha kumzingua na akija jf hatumpotezei wala nn!! wacha kumnyanyasa bwana daaah wanaume...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke hasiyependa ngono

    Aiseee!! bado hajazaliwa huyo.
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nimemchoka, nimeanza kutembea na mke wa rafiki yangu

    Bila matunzo hata huyo utamchoka!! yaonekana unapenda vya bure, ss we endelea tu na huyo mke wa rafiki yako ila ujiandae kufumuliwa hayo marinda yako!!
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

    Sikushauri best.Baki njia kuu.Mchepuko co dili,fata mfano wangu.
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

    Oa ss na wewe!!! kumbe jibu unalo ya nn kutaka ushauri? hovyoo.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

    Mm nimeolewa na wa kutoka mara ikiwa mm ni wa kusini ss alete hiyo mila yake ya kuoa wake wengi km hapajachimbika!! hivi huko si kuleteana magonjwa ndani na kudhalilisha wanawake?shemeji zangu badilikeni jamani!!! looh!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe Odama ni kicheche wa kimyakimya

    mmmmh! kabisa kidume hapo umechemka, loooh!!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Daaah ungevuta subira hadi saa sita na dakika moja.....waoo tungekuwa twins maskini.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hata mm jamani yaani 25 May hakuna mwingine?
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kuchat nao

    mmmmh!
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kuchat nao

    Ww ni ke au me?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mungu akamuuliza"unacheka nn".

    Mmmmh! Edwin m............!!! daa.
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa salama ya kudhibiti michepuko hatimaye yapatikana

    Pia hakuna kuzaa!! so ili uwe binadamu halisi lazima hayo mambo yote unayoyakwepa uyatimize na mwisho uzae km ulivyozaliwa kukwepa hayo ni kuhitimisha uzao wako
Back
Top Bottom