Nahuzunika sana kwakuwa mchakato huu unaleta hasara kubwa wakati JK alitaka katiba mpya iwe kama hii hii inayotumika sasa. Ni bora tungetumia hizo hela zinazoendelea kutumika sasa kwenye matumizi mengine ya msingi alafu tukabadili sheria au hata kufanya mabadiliko ya katiba ya sasa kuruhusu vitu...
Nakubaliana na mtoa hoja. Kwa hapa tulipofikia tunaitaji
rais ajar awe mchapakaz atakae wafanya mawaziri na
watumishi wote wa uma wachape kazi yenye tija kwa
watz wote. Alipokuwa pm alilifanya hilo, cheki ata
alipokuwa waziri wa maji na mifugo watz tulipata faida
Kubwa sana; tulipata uhuru...
Inabidi tuongozwe na mantiki ya mambo (Facts). Ukipima hoja zilizotolewa na Serikali kuhusiana na hili swala la gas ya Mtwwara kama majibu ya watu wanaopinga usafirishaji wa gas kutoka Mtwara kwenda Dar, unaona kabisa hoja za Serikali hazina maana yoyote i.e they are nonesense. Serikali wao...
Huyu Bw. anaeitwa Henry Matata sio mzima hata kidogo. Mara ya kwanza kumwona ilikuwa kwenye harambee ya kuchangia Kanisa hapa Pasiansi na mgeni rasmi alikuwa Mhe. Waziri Mkuu. Jamaa alibehave kihuni sana. Wanaomfaham wanasema anafujo sana na anarekodi ya kuwai kuwa mhalifu sana (jambazi). Tatizo...
Katika wasomi wa nchi hii ambaye nilimwona ni mtu ambae anazungumza 'facts' na yuko 'objective' na nilimwamini sana ni Prof. Shivji. Ila kwa siku za karibuni naamini amekengeuka sana na ni msomi ambae chochote atakachokisema lazima nikiangalie kwa jicho la tatu. Alinishangaza pale aliposema eti...
Ukizaliwa Mzanzibari raha sana, unakuwa na nchi mbili unazoweza kupata uongozi wa Kitaifa, yaani Zanzibar ulikozaliwa na Tanganyika ambako unakuwa mkoloni. Sijui ni kwanini akina Raisi JK, hata Mwalimu na BM wote walikuwa wanajikomba kwa Wazanzibari. Mbaya zaidi ni pale tulipotaliwa na mzee...
We shall know many things which are under the carpet as 2012 power struggles continues. Thanks for this Power struggles and Thanks for strong opposition of CHADEMA and Thanks to President JK who appointed Minister Prof. Muhongo and Secretary Maswi in the Ministry of mining and energy. That shows...
Hatuendelei sababu viongozi wengi uwezo wao wa kiakili na maarifa ni mdogo sana. Unapofurai mabaya yanayomkuta binadamu mwenzako ni ustaarabu wa kigaidi. Bora hata angekaa kimya. Alafu mbaya zaidi ni mwanamke!! sisi wanaume tunaamini wanawake wanahuruma sana, kumbe siku hizi ni vicevesa. Kazi...
Sera ya chama chake cha CUF ni kutaka tuwe na serikali tatu, naona baada ya kupata ulaji sasa hiyo sera kaibadili. Anataka mambo yaendelee kama yalivyo ila raisi wa muungano awe Mzanzibar preferably from Pemba. Kwa sisi wa TZ bara (Tanganyika) kuongozwa kuwa na raisi wa Muungano ambae ni...
Mhhh, kaazi kweli kweli. Historia inasema Tanganyika baada vita vya pili vya dunia iliwekwa chini ya Uingereza kuiongoza kuelekea kwenye uhuru. Je hii inamaanisha kwamba uhuru wetu ulikuwa rahisi sana kuupata?!! Mimi nadhani alikosea pia kwenye aina ya Muungano tulionao. Kwanini aliigopa...
Kwa maoni yangu nadhani akina EL, Mshabaaa na yule mwingine kwenye ishu ya Richmond walitolewa kafara tu. Ni kweli kuwa na rushwa na ufisadi lakini ni Serikali nzima ilihusika na huo Ufisadi. sio kwamba eti ilikuwa ni deal ya siri kwamba Raisi alikuwa hajui. Kikwete mwenyewe amesikika mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.