Kwanza kabisa pole maana mfa maji haachi kutapatapa:
Kwasababu kushadadia na kusambaza vitu kwa mihemko bila kuthibitisha taarifa unayoisambaza nayo ni shida nyingine;
Kwa mimi naona dhamira yako ndani kabisa ni UNACHUKI NA UISLAM ko chochote kitakachokuja mbele yako kiwe sahihi au sio sahihi...
Kwanza rekebisha iyo kauli yako kwamba ni mkuu wa wakuu wote wanaojulikana.....
Inaonekana unaandika kwa jazba sana na mihemko. Calm down bro! posho ipo palepale haitopunguzwa...!
Alaf umesahau apo kuongezea kwamba imebaki kidg tu ⏱️💯 angeabudiwa na maCCM maana huwa mnamuona kama ni "TINY...
Hana lolote uyo mama ni uroho wa madaraka tu.
Kulikuwa na ishara zote mwaka jana kwamba mbele yake kuna giza nene ila cha ajabu akaruka sarakasi anavyoweza katika chama chake mpka akachaguliwa kuwa mgombea urais.
Kama asingekitaka angejiengua mapema tu akapumzika zake wakati wa mchakato ndani...
Safi sana Mkuu kwa kuwa kauli zake ndo zilifyatulia watu risasi siku zile upo sahihi sana👏👏
Kama nakumbuka vzr ni kauli zake hzo hzo ndo zimeteka watu zaidi ya 700+ kwa miaka miwili na kufungulia watu mashtaka ya ugaidi na uhaini.
Upo vzr mkuu👏👏👏
Nakukumbusha tu ni kauli zake hzo hzo ambazo...
Apo ndo mvurugano unapokuja sasa..!
According to Mzee Warioba hakumpata kuanzia siku inayofuata, Jasusi Tv i confirm kwanz taarifa zake kabla hazijaenda hewan zisiwe na mkanganyiko
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa kabisa wanaosema ati Kujiuzulu kwa VP bas the same way ambayo atakayoitumia boss kubwa ⏱️💯 kuachia ngazi.
Labda niwaambie tu, me nadhani hamumjui huyu bibi vizur...
Ni mroho na mlafi wa madaraka haijawahi kutokea tangu kuzaliwa kwa Tanganyika.
Yupo tayari kufanya...
Kusema kwamba huyo samuya anamzua msoga kutafuna saiv???.🚮
Kama Tanganyika ni ng'ombe bas saiv sio mifupa tena kabaki nyuz nyuz. Wameshiba na kusaza🙄
Kilichobaki ni kuwaandalia na vitukuu vyao ulaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.