Recent content by Wissman

  1. Wissman

    TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Kwahiyo uwanja unaojengwa arusha tumekubali zilikuwa ni ahadi hewa?
  2. Wissman

    Dominic Salamba: Napata shida na taarifa za fedha za TFF kama hakuna forging.

    Kuna usanii kwenye hili sakata lotee. Yanga ni wajinga kiasi gani kwa misimu mitatu mfululizo hawajapewa zawadi ya ubigwa? Why madai haya yaje kwenye kuelekea sakata lingine la dabi? Iweje TFF waidhinishe usajili wa wachezaji wa kigeni kwa mkopo? Je ndio utaratibu? Kama sio utaratibu nini kilitokea?
  3. Wissman

    PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Kkiihalisia hii inaenda kuipa chadema airtime na mileage kubwa kitaifa na kimataifa zaidi. Anayewashauri Ccm ni mjinga
  4. Wissman

    Alex Msama: Wanaomsema Rais Samia wanamsema Mungu, wanaoshutumu wanamshutumu Mungu

    Hata wakati wa jiwe haya yalisemwa. Kiko wapi? Time tell
  5. Wissman

    Askofu Mwanamapinduzi wa kanisa la Ufufuo na uzima afafanua mwanzo mwisho kanisa kufungiwa. Kesi imesikilizwa, Hukumu ni kesho J'4. DPP atajwa

    Hata wangewasilisha kwa waziri bado wizara kujibu ingekuwa mtihani hasa kwenye kosa halisi la kusababisha kufungiwa
  6. Wissman

    PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

    Wasivyo na aibu wataanza kumwandama kwa mambo ya kishenzi kisa wameambiwa ukweli.
  7. Wissman

    PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

    Wasivyo na aibu wataanza kumwandama kwa mambo ya kishenzi kisa wameambiwa ukweli.
  8. Wissman

    CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

    Ni kweli, na wanavyodai ni kama ugomvi
  9. Wissman

    PreGE2025 Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga ashikiliwa uwanja wa Nyerere. Polisi waonekana Kisutu

    Ccm ni wajinga, wanashindwa kuelewa muamko wa hiyo kesi unatokana na matendo yao na policcm kuhujumu haki za upinzani, matokeo yake Chadema na upinzani wanapata free mileage. Kesi ingeanza kuendeshwa kwa uhuru na haki wala hao wakimataifa wasingevutiwa kufuatilia.
  10. Wissman

    Je waumini wa dini zote mbinguni watachanganywa pepo moja, ama kutakuwa na Pepo tofauti kwa kila dini pepo yao peke yao ?

    Umewaja je ipi ndio dini ya kweli katika kuwafikisha waumini wake mbinguni? Maana zote haziwezi kuwa zinatoka kwa Mungu mmoja
  11. Wissman

    PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Tatizo la ccm ni waongo na mara zote huwa haichukui muda wao wenyewe kunasa kwenye uongo wao
Back
Top Bottom